round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 258
- 918
MUHIMU
SIMBA
YANGA
Kwa maoni yangu naona matawi yapo balanced,
- Unaweza kuidhamini timu lakini bado ikawa upande wa adui yako !!
- Kuna muda tawi linaweza kukazi upande wao, si kila mechi ni mtelezo
SIMBA
- Azam (Timu nyingi zinakuja na kupotea ila azam ni habari nyingine, hawajatoka nje ya tatu bora tangu 2016 )
- Coastal Union
- Tabora United
- JKT
- Namungo
- Kengold
YANGA
- Dodoma Jiji
- Kagera Sugar
- Pamba Jiji
- KMC
- Prisons
- Singida Fountain
- Singida Big Stars
Kwa maoni yangu naona matawi yapo balanced,
- Yanga ina Quantity (idadi) kubwa ya matawi lakini Quality ( ushindani ) ndogo
- Simba ina Quantity (idadi) ndogo ya matawi lakini Quality ( ushindani ) kubwa