Yajue mambo 5 ya kushangaza kwenye simu yako ya Android

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
519
915
MAMBO 5 YA KUSHANGAZA KWENYE SIMU YAKO android

Do more with your smartphone

Android ni mfumo wa nguvu Sana wa KUFANYA kazi ambao unaweza kutumiks kwa KUFANYA Mambo mengi zaidi ya matumizi yako ya kawaida Kama kuchart, kusoma, kupiga picha , kuperuzi mitandao ya kijamii Kama WhatsApp Instagram Facebook na kupiga simu.

Android iko tofauti na IOS , Zimeboreshwa kabisa na ni OS yenye uwezo na yenye nguvu ambayo inaweza kutumika kwa mengi
Ila sio kuangalia video za ajabu ajabu .

Leo nakueleza vitu 5 ambavyo unaweza kuvifanya na simu yako ya Android ambazo ulikua utambui au unajua .

1 VOICE SEARCH with screen off
Utafutaji wa sauti na ikiwa screen imezimwa. Simu nyingi za smartphone (rununu) huweza kumruhusu mtumiaji kuweza kutafuta kitu kwa kusema Ok Google kutoka mahali popote kwenye Operating system ya simu yako utaweza kutafuta kitu chochote.

Simu mfano Kama infinix pia Zina msingi wa kujitolea wa kusikiliza zaidi ya sauti yako kuhurusu kutumia Ok Google hata wakati ambao skrini yako imezimwa!★.

Apple ilianzisha hiyo system majuzi juzi inayoitwa Hey Siri lakini huweza kufanya kazi tu wakati ambao simu inachaji au imeungwanishwa

Jinsi ya kuwasha Ok Google Kila wakati. Ingia Google setting>search and Now>voice>Ok Google detection> always on and flip the switch (daima iwashe na ubonyeze switch).

2 REMOTE LOCK AU WIPE YOUR LOST PHONE (Funga mbali au futa simu iliyopotea)
Ikiwa unapenda kutumia smartphone kama Mimi na ikatokea umeweza kupoteza simu yako ya smartphone. Android wamenusurika. Kwani Google Ina kipengele Bora kinachoitwa Android device Manager ambayo huweza kukuruhusu kupata simu yako na kuweza kufuta vitu kwenye simu yako hata Kama hauna hiyo simu .

Jinsi ya ku enable Android device manager ingia setting Kisha >security>device Administrator na utaweza kutafuta simu yako kwenye kompyuta ikiwa umeibiw au kupoteza.

3. Scan barcodes/Documents
Smartphone yako Ina Camera ya nyuma ambayo huweza kuchukua picha zako za chakula au wewe mwenyewe umejipiga Kisha kupost mitandao. Ila umesahau kamera inaweza kutumika zaidi kwa malengo marefu ya uzalishaji wa faida pia kuliko kupicha picha tu.

Unaweza kutumia kamera ya nyuma Kama ku scan barcodes na ku scan documents (nyaraka) kwa urahisi tu kwa kutumia programi (app ) inayoitwa Barcodes scanner na CamScanner

Mbali na hizo kuna program nyingi zingine zinaweza kutumika kwenye soko la Play store Kama hizo juu

4. Access Chrome Tabs from other devices
Kama una wivu juu ya rafiki yako ambaye anatumia simu ya #Apple na anajivunia juu ya jinsi bidhaa hiyo ya apple inavyofanya kazi bila kushikamana. Jinsi internet tab zote za iPad Mac and iPhone zinavyoshikamana hata Kama ziko mbali.

Pia Android huweza kukuruhusu kufanya hivyo hivyo kupitia #Chrome ingia kwenye Chrome na Gmail yako unayotumia kwa vifaa tofauti tofauti. Utaweza kuona history bookmarks with all sync across all of them .

5. Make your device faster

Tunafahamu Raha ya simu hiwe speed Tena speed sio ya hile 2G au 3G hapana hapa ni mwendo wa 5G ila sisemi kuhusu hiyo internet no yaan mfumo mzima wa simu kuongeza Kasi na kuweza kufurahia simu yako.

Muonekano wa animation nyingi kwenye simu yako upunguza Kasi ya speed ya simu yako kufanya kazi vyema. Hivyo huwepo slow wa simu yako upelekea kuwa na hasira hasa simu kuwa slow aisee.

Jinsi ya kuongeza Kasi ya simu yako

1.. Go setting
2.. click device info
3.. click on build Mara 7 au 6 times
4.. Kisha Rudi nyuma mpaka kwenye developer option utawexa kuiona Sasa
5.. kutakua na chaguo jipya inayoitwa Developer setting kwenye setting ya menu
6.. tafuta drawing category na uweze ku set the following option to 0.5x -window animation scale , transition animation scale na animator duration scale.

Your is now faster na utaweza kunishukuru baadae .

#share #likes na #comments

Stop racism ubaguzi mwiko ubaguzi ni adui afai tupendane tusaidiane ahsanteni
images%20(4).jpg
 
Stop racism ubaguzi mwiko ubaguzi ni adui afai tupendane tusaidiane ahsanteniView attachment 1468651

Kwanza asante sana kwa darasa zuri. Pili, Kwangu kwenye kipengele cha make your device faster, kwenye drawing category, nimekuta tayari imejiselect 1x, ambayo inaonekana ipo juu ya 0.5. Unasemaje kuhusu hilo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom