Yahusu LAWSON:Ilisaidia kupunguza watumishi hewa kweli?

koryo

JF-Expert Member
Jun 21, 2010
639
278
Wakati Serikali ya awamu ya nne ikiwa madarakani Mhe. Waziri wa Tawala za Mkioana Serikali za Mitaa wakati huo Mama H. Ghasia alitamba mbele ya Bunge huku akipata support ya Mhe. Kombani (marehemu) kuwa mwarobaini wa watumishi hewa imepatikana kutokana na dude linaloitwa LAWSON.

Tunamuuiza Mhe. Ghasia kutamba kwako kulimaanisha nini wakati Serikali ya awamu imegundu UOZO kwa kuwapata utitiri wa watumishi hewa Labda huyu Mhe. alikuwa na mkono kwenye hili la watumishi hewa. Ni vyema Mama Ghasia akawajibishwa.
 
Umejuaje? Walikuja kwa mbwembwe ooh linaandisha madaraja lenyewe linatambua mapunjo linajua mpaka muda wa kustaafu si lolote si chochote. Leo tunaandika madai ya walimu tunatakiwa kuambatanisha na salary slip. Shame upon mawazir wasiojitambua
 
I think serikali serikali inahitaji a very serious software ikiwezekana watangaze tenda huko israel la kuhusiana na database ya watumishi wa serikalini...ambayo hata mtu akihama hamna mambo sijui ya kufunga data sheet.
 
Lawson is just a data base. Gabbage in gabbage out. Kama wasimamizi wa kazi hawatatoa taarifa na marekebisho na approval kutoka kwa wakati tatizo litaendelea kuwepo. Muhimu zaidi uwajibikaji unahitajika katika ngazi zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…