Ya wafuasi wa CHADEMA kumbagua Waziri Masauni kwa uzanzibari wake

Mkunazi Njiwa

JF-Expert Member
Apr 22, 2023
7,451
6,570
Ni kukosa uzalendo kwa tunu za taifa.

Pamoja na kuwa wamesoma ila wamekosa UFAHAMU wa uadhimu wa taifa kwa watu wake ,uongozi wake na ardhi yake.

Uhuru uliopatikana 1961 haujawapa huo ufahamu...

Mapinduzi ya Zanzibar haujawapa huo ufahamu....
Muungano wa 1964 haujafungua bongo zao....

Alianza Mh.Mbowe kumbagua mh.Rais Samia kwa uzanzibari wake.
Zikafuata hoja "koko" za kamarada Tundu Lissu dhidi ya uzanzibari wa mh.Rais baada ya kuhamia Msomera kwa baadhi ya ndugu zetu wa Ngororongo.

Leo akina Erthyrocytes nao wamejipanga mstari huo wa ubaguzi safari hii kwa mh.Waziri wa mambo ya ndani Hamadi Masauni.

Hoja yao dhaifu eti haiwezekani wizara ya mambo ya ndani kuongozwa na mzanzibari....hoja mfu kabisa.

Wafuasi hawa wasomi wanashangaza kwa kujifanya wazalendo wa nchi ilihali hawajazielewa TUNU za taifa,inasikitisha.
Tuwape pole kwa kuwa ni CCM pekee yenye uwezo wa kuwaandaa vijana wa taifa hili wakawa wazalendo kindakindaki na si Chadema na BAVICHA ya akina Mwaipaya ambao wanataka "kulichoma taifa" kwa rejea ya vurugu za vijana wa Kenya , inasikitisha.

Wahenga walisema "NEVER GIVE WISDOM TO UNWORTHY AS IT IS UNJUST TO THE KNOWLEDGEABLE".
"Knowledgeables" wa tunu za taifa wako ndani ya CCM kwani huko kuna madarasa ya itikadi ya TUNU ZA TAIFA na kwangu mimi sikiiangalii CCM kama chama tu bali kama WABEBA IMANI TUKUFU wa tunu za taifa hili na umoja wa watu wake.

Mwenyezi Mungu aendelee kuulinda muungano wetu na watu wake.
#Tanzania Kwanza
#Muungano daima dumu
 
Ni Mzanzibar au sio mzanzibar? Hakuna ubaguzi hapo. Tz n muungano wa nchi mbili zanz na tanganyika.. mwisho wa siku kila mtu ana asili yake. Yule jamaa ni Mzanzibar.full stop.
#Tanganyika yetu kwanza
#mwalim alikosea sana kutuunganisha na wavaa kobazi
 
Sijawafutia uzanzibari wao bali nimekazia UBAGUZI wa baadhi ya wafuasi wa CDM humu JF juu ya uzanzibari wake Masauni...

Soma "between lines" mzeya...

Usiwe mjinga ,makobazi yamekuja baadaye na waarabu wa Oman/Persia baada ya miaka mingi ya uwepo wa wazanzibari katika visiwa hivyo

#Hakuna mtu aitwaye MTANGANYIKA
 
Sijawafutia uzanzibari wao bali nimekazia UBAGUZI wa baadhi ya wafuasi wa CDM humu JF juu ya uzanzibari wake Masauni...

Soma "between lines" mzeya...

#Hakuna mtu aitwaye MTANGANYIKA
Mtanganyika hayupo? Je ni sahihi. Muunganiko wa nchi mbili. Tanganyika ilikufa lakin Zanzibar ipo.hilo ni sahihi? Hujui mf. Swala la mafuta/gesi sio la muungano hata swala dogo tu la michezo pia sio la muungano. Na Unawezaje kuamini Tanganyika haipo? Ni kufunika kombe tu ila ubaguzi upo wazi pengine kutokana na katiba yetu. Ili kutatua hilo ni kupata katiba mpya yenye inatambua serikali 3(katiba ya Warioba)
 
Ni kukosa uzalendo kwa tunu za taifa.

Pamoja na kuwa wamesoma ila wamekosa UFAHAMU wa uadhimu wa taifa kwa watu wake ,uongozi wake na ardhi yake.

Uhuru uliopatikana 1961 haujawapa huo ufahamu...

Mapinduzi ya Zanzibar haujawapa huo ufahamu....
Muungano wa 1964 haujafungua bongo zao....

Alianza Mh.Mbowe kumbagua mh.Rais Samia kwa uzanzibari wake.
Zikafuata hoja "koko" za kamarada Tundu Lissu dhidi ya uzanzibari wa mh.Rais baada ya kuhamia Msomera kwa baadhi ya ndugu zetu wa Ngororongo.

Leo akina Erthyrocytes nao wamejipanga mstari huo wa ubaguzi safari hii kwa mh.Waziri wa mambo ya ndani Hamadi Masauni.

Hoja yao dhaifu eti haiwezekani wizara ya mambo ya ndani kuongozwa na mzanzibari....hoja mfu kabisa.

Wafuasi hawa wasomi wanashangaza kwa kujifanya wazalendo wa nchi ilihali hawajazielewa TUNU za taifa,inasikitisha.
Tuwape pole kwa kuwa ni CCM pekee yenye uwezo wa kuwaandaa vijana wa taifa hili wakawa wazalendo kindakindaki na si Chadema na BAVICHA ya akina Mwaipaya ambao wanataka "kulichoma taifa" kwa rejea ya vurugu za vijana wa Kenya , inasikitisha.

Wahenga walisema "NEVER GIVE WISDOM TO UNWORTHY AS IT IS UNJUST TO THE KNOWLEDGEABLE".
"Knowledgeables" wa tunu za taifa wako ndani ya CCM kwani huko kuna madarasa ya itikadi ya TUNU ZA TAIFA na kwangu mimi sikiiangalii CCM kama chama tu bali kama WABEBA IMANI TUKUFU wa tunu za taifa hili na umoja wa watu wake.

Mwenyezi Mungu aendelee kuulinda muungano wetu na watu wake.
#Tanzania Kwanza
#Muungano daima dumu
Umeandika upuuzi.

Mbaguzi wa kwanza ni Samia.

1. Mwulize kwa nini aligawa rasilimali za Tanganyika kwa waarabu halafu akaziacha za Zanzibar?

2. Mwulize kwa nini. aliwaweka wazanzibari kwenye wizara zisizo za Muungano tena kwenye wizara zenye mamlaka na rasilimali za Tanganyika, kisha akafanimisha uporwaji warasilimali za Tanganyika kwa manufaa yake, familia yake na makuwadi zake?

3. Mwulize, wakati Wazanzibari ni ambao ni 3% tu ya watanzania, kwa nini yeye akapandisha mgao wa Wazanzibari toka 4% mpaka 19% kwa kila msaada na mkopo unaotolewa kwa Tanzania, na wakati huo huo Zanzibar haijawahi kurejesha mkopo wowote, huku mzigo wote wa madeni, hata iliyopelekwa Zanzibar, ni Tanganyika inayobeba?

5. Mwulize, kwa nini awateue wazanzibari kuwa wakuu wa wilaya Tanganyika wakati Tamisemi siyo wizara ya Muungano, na wala hajawahi hata mara moja kumteua mtanganyika kwenda kuwa DC Zanzibar?

Kwa ujumla, mbaguzi mkuu wa kwanza ni Rais mwenyewe.
 
....nawe ukajibu KIPUUZI...

Watanganyanyika hawapo.....umeshindwa hata kumsoma na "kumwelewa" baba wa taifa hayati JK kuhusu juu ya Tanganyika ndani ya JMT?!!!

Tatizo linaanzia hapo na kwa kuwa "unaDENIAL"....mjadala wetu kamwe hauwezi ukawa na "positivities"
 
Ni Mzanzibar au sio mzanzibar? Hakuna ubaguzi hapo. Tz n muungano wa nchi mbili zanz na tanganyika.. mwisho wa siku kila mtu ana asili yake. Yule jamaa ni Mzanzibar.full stop.
#Tanganyika yetu kwanza
#mwalim alikosea sana kutuunganisha na wavaa kobazi
Kati ya mawaziri boya huhu ana ongoza.
Naona huko kwenye mbeleko kwa vkle wame toka kumoja
 
I
Ni Mzanzibar au sio mzanzibar? Hakuna ubaguzi hapo. Tz n muungano wa nchi mbili zanz na tanganyika.. mwisho wa siku kila mtu ana asili yake. Yule jamaa ni Mzanzibar.full stop.
#Tanganyika yetu kwanza
#mwalim alikosea sana kutuunganisha na wavaa kobazi
Ila nyinyi watu mnachekesha sana, eti ni mzanzibanr kweli, ila akitokea mtu huko akijiita yeye mzanzibar mnasema anaubaguzi lkn hapa unasisitiza kwamba ni mzanzibar
 
Back
Top Bottom