LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 16,355
- 30,527
Mwameja Mohamed Mwameja ni moja kati ya makipa bora kabisa kuwahi kutokea kwenye historia ya soka la Tanzania.
Akifanya mahojiano na BIN Zubeir @ Azam Tv, aliulizwa swali nini siri ya ubora wa hali ya juu alio kuwa nao langoni.
Majibu ya Mwameja: "Nilikuwa nafanya mazoezi magumu kuliko mechi. Mazoezi yalikuwa ni magumu mara kumi ya mechi. So nilikuwa nikiingia kwenye mechi nilikuwa naiona nyepesi sana kwa sababu nilikuwa tayari nimefanya mazoezi ambayo ni magumu mara kumi ya mechi."
Kauli ya Mwameja, inafanana na kauli ya Miyamoto Musashi, mpiganaji wa kutumia Upanga ( Sword's man) wa Kijapani alieishi miaka ya 1500 ambae mpaka sasa rekodi yake katika sanaa ya mapigano kwa kutumia upanga, haijakaribiwa na yoyote.
Miyamoto Musashi alipigana mapigano ya upanga yapatayo 62 na alishinda yote. Na kwa wasio jua, mapigano ya upanga ni " a do or die" game.
Miyamoto Musashi ambae pia alikuwa strategist na mwandishi, aliwahi kuandika kitabu na ndani akasema kwamba "YOU WILL ALWAYS FIGHT THE WAY YOU PRACTISED".
Ukipractice kizembe hata kwenye maisha utafight kizembe. Na ukifight kizembe utafeli.
Ndio maana hata jeshini mafunzo ya kuwaandaa Raia kuwa wanajeshi huwa yanakuwaga makali sana ili kuwaandaa kuwa wanajeshi halisi.
Back to Kayumba Schools. Wengi wanao ziponda Kayumba wanasema eti zina mazingira magumu.
Sasa jamani mazingira magumu si ndio yanamjenga na kumuandaa mtoto kuweza kuthrive kwenye maisha halisi?
English Mediums kila kitu watoto wanatafuniwa tofauti na Kayumba ambako mtoto anatakiwa kufight mwenyewe. Mwisho wa siku huyu wa Kayumba anapokuja kwenye maisha halisi anakuwa na uwezo mkubwa sana wa kukabiliana na changamoto halisi za maisha kuliko huyu wa shule za private ambae yeye amejengwa katika misingi ya kufanyiwa wepesi kwenye kila jambo. (Eti hadi homework huwa wanasaidiwa na wazazi)
Muulize mtu anae struggle kuwasomesha watoto wake kwenye shule za EM, anacho lipia huwaga ni kitu gani haswa?
Analipia mchakato (THE process) au analipia matokeo (the end product/kwa maana ya what will his child become after school)..
Pelekeni watoto wenu Kayumba.
# Making Kayumba Schools Great Again. ( MAKAGA CAMPAIGN)