Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Tunaomba ukitajeLabda kuna kifungu cha katiba kinachompa nguvu raisi kutekeleza shughuli muhimu za maendeleo bila kupitia bungeni.
Ukiwa na Mizuka lazima uandike uliyoandikaLeo ndio nimejiona nyumbu kabisa! Sitarudia tena kuzungusha mikono, hawa ndio niliwapa kura yangu? Mbowe unaona bora safari za kamati za bunge kuliko madawati?
Tukisingeyajua haya yote kama yasingekua yanaonyeshwaBinafsi nataka bunge lirushwe live.
Ila, wapinzani wanachofanya nikutaka kufurahisha nafsi zao. Wananchi wengi hawajui hayo wanasiasa wanayosema. Wanataka waliotafuna taifa wakamatwe na wanaoiba wafukuzwe.
Wapinzani sijaona kama itawasaidia kama wanavyotaka kufanya.
Kama kupambana na mafisadi na kuelekeza fedha za anasa kwenye shughuli za maendeleo ni kuvunja sheria, bora rais wetu aendelee tu kuzivunja kwani zina manufaa kwa taifamarobot ya CCM utayajuwa tuu yenyewe ni kusifu tu wakati watu wanavuruga sharia za nchi magufuliaambiwe hayuko juu ya sheria
Haitawasaidia kitu kwa sababu taifa lote lipo na MagufuliBinafsi nataka bunge lirushwe live.
Ila, wapinzani wanachofanya nikutaka kufurahisha nafsi zao. Wananchi wengi hawajui hayo wanasiasa wanayosema. Wanataka waliotafuna taifa wakamatwe na wanaoiba wafukuzwe.
Wapinzani sijaona kama itawasaidia kama wanavyotaka kufanya.
Wana wivu wa kike. Mafanikio ya Magufuli ni kifo cha upinzaniupinzani hawatutakii mema watanzania
Maamuzi mpaka ya Bunge yanafanywa na mtu moja au wawili alafu unayabariki?Hapa ndipo ninapowaona wapinzani ni wajinga. Hivi kwao sherehe za uhuru ni bora zaidi kuliko Ujenzi wa Barabara ya Mwenge to Morocco? Hivi tuna wapinzani wa aina gani katika nchi hii kiasi ambacho wanapinga hata hatua nzuri Inazochukuliwa na serikali. Najua inawauma sana kuona ujenzi wa barabara hiyo ukiendelea kwa kasi na soon itafunguliwa. Poleni sana
Hatua anazochukua ikiwa ni pamoja na kuhamisha matumizi ya fedha jambo ambalo linatajwa kuingilia muhimili mwingine wa Taifa kinyume na taratibu za nchi.
Mbowe ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni katika Ofisi ya Waziri Mkuu amesema, “kitendo cha serikali kuamua kufanya re-allocation ya bajeti bila kupata idhini ya Bunge ni dharau kwa bunge lakini mbaya zaidi ni uvunjaji wa Katiba na Sheria.”
“Ikiwa fedha zilizoidhinishwa na Bunge hazikutosha kutekeleza majukumu ya serikali, kifungu cha 41(1) cha Sheria ya Bajeti ya Mwaka 2015 kinaelekeza kwamba:
“Serikali itawasilisha Bungeni kwa idhini, bajeti ya nyongeza ya fedha zilizotumika ambazo zimezidi kiwango kilichoidhinishwa na Bunge au kwa madhumuni ya kugharamia mahitaji ambayo hayakupangwa.”
Lakini utaratibu huo umekuwa ukivunjwa na Serikali ya Rais Magufuli kutokana na kufanya matumizi ya fedha ambazo hazikuidhinishwa na Bunge na kwamba, jambo hilo linaua dhana ya madaraka ya Bunge ya kuisimamia na kuishauri serikali.
Ametoa mfano kwamba, bajeti ya maendeleo iliyokuwa imeidhinishwa na Bunge kwa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kwa mwaka wa fedha 2015/16 ilikuwa ni Sh. 883.8 bilioni ambapo kati ya fedha hizo, fedha za ndani zilikuwa ni Sh. 191.6 bilioni.
“Jambo la kushangaza ni kwamba, hadi kufikia mwezi Machi 2016 wizara ilikuwa imeshapokea kutoka hazina shilingi bilioni 607.4 ikiwa ni fedha za ndani.
Hivi karibuni Rais Magufuli amekuwa akibadili matumizi ya fedha zilizopangwa na bunge kwa ajili ya shughuli fulani na kuzipeleka kwenye kazi nyingine kinyume na utaratibu wa nchi.
Miongoni mwayo ni fedha za Sherehe za Muungano ambazo sasa zimeelekezwa kwenye upanuzi wa Barabara ya Makongoro – Uwanja wa Ndege wa Mwanza kuanzia eneo la Ghana.
Fedha za Sherehe ya Uhuru ziliamriwa kuelekezwa kwenye upanuzi wa Barabara ya kutoka Mwenge kwenda Moroco jijini Dar es Salaam ambapo upanuzi huo unaendelea.
Mkiambiwa mnamizuka mnabisha sasa wivu tulionao ni upi?Wana wivu wa kike. Mafanikio ya Magufuli ni kifo cha upinzani
wewe nawe unaweza sema nini kupakata wanaume wenzako na umbeya ndio unakupa vyeo nakusha kwenye mitandao magari unayotumia ofisi unazotumia za walipa kodi kwani ni mali ya mama yako acha ujinga wewe mpenda misifa hafiki mbali kasha anza kulia lia kila siku mara muniombee tumuombee alivyomba kazi hakujua kuna ugumu mara ooh kuna wanaonipinga hakujuwa nchi ina wananchi milioni hamsini wana maoni yao mara huu wananisema alidhani nchi kakodishia kanga aache mara moja afuata sheia za nchi na wewe uacha kuchongea watuKama kupambana na mafisadi na kuelekeza fedha za anasa kwenye shughuli za maendeleo ni kuvunja sheria, bora rais wetu aendelee tu kuzivunja kwani zina manufaa kwa taifa