Xiaomi 13 Ultra specifications: Rumoured

Reuben Challe

JF-Expert Member
Dec 10, 2021
2,941
5,500
gsmarena_003.jpg
Xiaomi 13 Ultra inatarajiwa kutoka kesho, hizo specifications ni 100% correct. Hizi ndio specifications sahihi za Xiaomi 13 Ultra

According to real specifications, nimeona weaknesses ifuatayo
1. Xiaomi 13 Ultra haina uwezo wa kurekodi 4K videos kwenye kamera ya mbele

Ukitoa hiyo weakness kila kitu kipo poa Sana
Hizi hapa ndio real specifications za Xiaomi 13 Ultra, sio rumoured tena.

Source: gsmarena.com

gsmarena_005%20(1).jpg

1. NETWORK
Technology: GSM / CDMA / HSPA / EVDO / LTE / 5G

2G bands : GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 - SIM 1 & SIM 2
CDMA 800

3G bands : HSDPA 800 / 850 / 900 / 1700(AWS) / 1900 / 2100
CDMA2000 1xEV-DO

4G bands: 1, 3, 4, 5, 7, 8, 12, 17, 18, 19, 26, 34, 38, 39, 40, 41, 42

5G bands: 1, 3, 5, 8, 28, 38, 40, 41, 77, 78, 79 SA/NSA

Speed: HSPA, LTE-A, 5G

2. LAUNCH
Announced: 2023, April 18

Status: Coming soon. Exp. release 2023, April 21

3. BODY
Dimensions: 163.2 x 74.6 x 9.1 mm (6.43 x 2.94 x 0.36 in)

Weight: 227 g (8.01 oz)

Build: Glass front (Gorilla Glass Victus), eco leather back, aluminum frame

SIM: Dual SIM (Nano-SIM, dual stand-by)
IP68 dust/water resistant (up to 1.5m for 30min)

4. DISPLAY
Type: LTPO3 AMOLED, 1B colors, 120Hz, Dolby Vision, HDR10+, 1300 nits (HBM), 2600 nits (peak)

Size: 6.73 inches, 108.9 cm2 (~89.5% screen-to-body ratio)

Resolution: 1440 x 3200 pixels, 20:9 ratio (~522 ppi density)

Protection : Corning Gorilla Glass Victus

xiaomi-13-ultra-10.jpg

5. PLATFORM
OS: Android 13, MIUI 14

Chipset : Qualcomm SM8550-AB Snapdragon 8 Gen 2 (4 nm)

CPU : Octa-core (1x3.2 GHz Cortex-X3 & 2x2.8 GHz Cortex-A715 & 2x2.8 GHz Cortex-A710 & 3x2.0 GHz Cortex-A510)

GPU: Adreno 740

6. MEMORY
Card slot: No

Internal: 256GB 12GB RAM, 512GB 16GB RAM, 1TB 16GB RAM

UFS 4.0

7. MAIN CAMERA
Quad: 50.3 MP, f/1.9 or f/4.0, 23mm (wide), 1.0"-type, 1.6µm, multi-directional PDAF, Laser AF, OIS

50 MP, f/3.0, 120mm (periscope telephoto), 1/2.51", PDAF, OIS, 5x optical zoom

50 MP, f/1.8, 75mm (telephoto), 1/2.51", PDAF, OIS, optical zoom

50 MP, f/1.8, 12mm, 122˚ (ultrawide), 1/2.51", PDAF
TOF 3D, (depth)

Features: Leica lenses, Dual-LED flash, HDR, panorama

Video: 8K@24fps, 4K@24/30/60fps, 1080p@30/60/120/240/480/960/1920fps, gyro-EIS, Dolby Vision HDR 10-bit rec. (4K@60fps, 1080p)

8. SELFIE CAMERA
Single : 32 MP, f/2.0, 22mm (wide), 0.7µm

Features: HDR, panorama

Video: 1080p@30fps

9. SOUND
Loudspeaker : Yes, with stereo speakers

3.5mm jack: No

24-bit/192kHz audio

10. COMMS
WLAN: Wi-Fi 802.11 a/b/g/n/ac/6e, dual-band, Wi-Fi Direct

Bluetooth: 5.3, A2DP, LE, aptX HD, aptX Adaptive

Positioning: GPS (L1+L5), GLONASS (L1), BDS (B1I+B1c+B2a), GALILEO (E1+E5a), QZSS (L1+L5), NavIC (L5)

NFC: Yes

Infrared port: Yes

Radio: No

USB: USB Type-C 3.2, DisplayPort, OTG

11. FEATURES
Sensors: Fingerprint (under display, optical), accelerometer, gyro, compass, color spectrum, barometer

Messaging: SMS(threaded view), MMS, Email, Push Email, IM

Browser: HTML5
Virtual proximity sensing

12. BATTERY
Type: Li-Po 5000 mAh, non-removable

Charging: 90W wired, PD3.0, QC4, 100% in 35 min (advertised)

50W wireless, 100% in 49 min (advertised)

10W reverse wireless

IMG_20230417_190753.jpg



13. MISC
Colors: Black, Olive Green, White
Price : About 800 EUR

Xiaomi 13 Ultra itakuwa na Global version yake pia. Tofauti na ilivyokuwa Xiaomi 12S Ultra ambayo ilikuwa released only in China.
Kioo cha Xiaomi 13 Ultra kina maximum peak brightness ya 2600nits, karibia 1000nits zaidi ya Galaxy S23 Ultra ambayo ina maximum peak brightness ya 1750nits

Nasubiria review kutoka gsmarena.com



NB: Thread yote imekuwa edited kila sehemu ambayo ilikuwa na taarifa zisizo sahihi. Sasahivi taarifa ni sahihi na za uhakika
 

Attachments

  • gsmarena_001%20(1).jpg
    gsmarena_001%20(1).jpg
    8.6 KB · Views: 17
  • gsmarena_004.jpg
    gsmarena_004.jpg
    10 KB · Views: 20
Yani wana simu nyingi hadi kero
Xiaomi series zipo chache
Ila Redmi series ndio zipo nyingi
Lengo ni kuhakikisha kuwa wanakupa Uhuru wa kuchagua simu katika kila bei unayoweza kumudu, ndio maana wana simu nyingi kuanzia bei ya laki 2 hadi milioni 6.
Unanunua simu unayoimudu, nyingine unaachana nazo. Simple like that
 
Kila baada ya mwezi 1 wanatoa simu. Tumewachoka
Zinatoka nyingi Ila unakuta zipo limited kwa China only, so hamna effects
Hizi zinazoachiliwa globally mbona sio nyingi kupita kiasi
Hakuna tofauti kubwa na
Samsung Galaxy A04
Samsung galaxy A04e
Samsung Galaxy A04s
Samsung Galaxy A14
Samsung Galaxy A14 5G
Samsung Galaxy A24 4G
Samsung Galaxy A34
Samsung Galaxy A54
Samsung Galaxy M14
Samsung Galaxy M34 5G
Samsung Galaxy M04
Samsung Galaxy F04, etc
kutoka ndani ya mwaka mmoja
 
Zinatoka nyingi Ila unakuta zipo limited kwa China only, so hamna effects
Hizi zinazoachiliwa globally mbona sio nyingi kupita kiasi
Hakuna tofauti kubwa na
Samsung Galaxy A04
Samsung galaxy A04e
Samsung Galaxy A04s
Samsung Galaxy A14
Samsung Galaxy A14 5G
Samsung Galaxy A24 4G
Samsung Galaxy A34
Samsung Galaxy A54
Samsung Galaxy A74
Samsung Galaxy M14
Samsung Galaxy M34 5G
Samsung Galaxy M04
Samsung Galaxy F04, etc
kutoka ndani ya mwaka mmoja
A74 hatuna
 
Type C ina shida gan mpak uione kuwa ni error
Akina Samsung wanatumia USB Type C 3.2 kwenye flagship zao ambayo inatransfer files haraka zaidi ya USB Type C 2.0 inayotumiwa na flagship za Xiaomi. USB Type C 2.0 pia inatumika na simu za low end na midrange

Pia USB Type C 3 point something imeiwezesha Samsung kuweka feature ya kisasa ya Samsung DeX kwenye flagship zao

Ila USB Type C 2.0 kwenye Xiaomi 13 Ultra ni just rumours, nasubiria nione real specs zitasemaje
 
Akina Samsung wanatumia USB Type C 3.2 kwenye flagship zao ambayo inatransfer files haraka zaidi ya USB Type C 2.0 inayotumiwa na flagship za Xiaomi. USB Type C 2.0 pia inatumika na simu za low end na midrange

Pia USB Type C 3 point something imeiwezesha Samsung kuweka feature ya kisasa ya Samsung DeX kwenye flagship zao

Ila USB Type C 2.0 kwenye Xiaomi 13 Ultra ni just rumours, nasubiria nione real specs zitasemaje
hivi UFS 3.1 au 2.2 inamaana gani?
 
hivi UFS 3.1 au 2.2 inamaana gani?
Hizo ni storage type. Mfano kwa hapo UFS 3.1 ni faster storage type kuliko hiyo UFS 2.2. Kuna storage type ya eMMC pia ambayo ipo slow na inapatikana kwenye simu za bei rahisi kama Samsung Galaxy A13

Ili upate maelezo mazuri muulize Chief-Mkwawa ndio anaelewa haya mambo vizuri
 
hivi UFS 3.1 au 2.2 inamaana gani?
Ufs mkuu ni memory controller kama unavyosema Sata, Nvme, etc. Mfano wake fikiria kama Mabomba ya kupitishia maji, jinsi mabomba yanavyokuwa makubwa ndio jinsi maji yanavyopita mengi.

Ufs zipo version nyingi kama 2.1, 2.2, 3.1, 4.0 etc hizi version za UFS na speed zake.

UFS-3-1-Speeds.jpg

Hapo kwenye Table unaona Emmc zipo slow zaidi hizo ndo unazikuta kwenye Tecno na vimeo vyengine vya Samsung bei rahisi.

Kuna mambo muhimu ya kujua kwenye UFS
1. Ufs ni kama bomba, sababu una bomba kubwa haimaanishi utapata maji mengi, kuna simu zina UFS za kisasa ila Nand zilizotumika kutengenezea storage ni low quality hivyo usipate hio speed kubwa,

2. Hizi UFS zinaweza kuwa configured kwa lane zaidi ya moja ili kukupa Bandwidth zaidi, mfano hapo ukiangalia ufs 2.0 128gb ni 350MBps ila Ufs 2.0 ya 256GB ni 850MBps, kinachofanyika hapo ni storage inagawanywa vipande unakuta 64GB mara 2 kupata 128GB ama 64GB mara 4 kupata 256GB hivyo kila kipande kikiwa kinapokea data inaongeza speed.

Hivyo kuliko kukariri UFS version vyema uangalie reviews za simu husika kujua actual speed ya storage.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom