Wadau sasa umefika wa kuachana na kitochi changu ili nipate world cup live kupitia simu. Je ni kimobitel gani naeza pata matangazo live. Naombeni link pia ya mobile phone au laptop ili nikiwa kwa ofisi nipate kitu live bila chenga. Nisaidieni...
Dash... Tulipie DSTV. Yaani unaturudisha kulekule kwa kaburu!
...mkuu umenichanganya kidogo, umesema bure alafu charges zao sio kubwa,apo inakuwaje...?