Msanii wa maigizo nchini, jackline wolper masawe, ambaye pia ameshiriki kama video queen kwenye wimbo mpya wa msanii diamond platnums huitwao Utanipenda, amefunguka ya moyoni kupitia mtandao wake wa instagram na kumsifia zari hadharani kwa kumtunza diamond, ambapo hivi karibuni amekua hasikiki kabisa kwenye scandal za kutoka na mademu wa nje toka alipokuwa na mrembo huyo wa Uganda ambaye pia ni mzazi mwenzie. Wolper aliendelea kumwaga cheche na kuwasifia wapendwa hao kitendo ambacho kimetafsiriwa kama ni kumchoma staa mwenzie wema sepetu ambaye alikuwa ni zilipendwa wa msanii huyo mwenye title ya jina la Simba.
ngoja tuone mwisho wake, siku make up za zari zitakapomshosha simba, 2016 haiishi.. keep my word.
kwahiyo wewe unaona watazeeka pamoja au?
Nakuunga mkono pia.Hapa anasubiriwa mtoto akue tu coz ndo muweka bond,otherwise dogo anawaza kutanua na watoto wakali wabichi wabichi sio huyo mzee classicngoja tuone mwisho wake, siku make up za zari zitakapomshosha simba, 2016 haiishi.. keep my word.
Hahahahah......wabongo bana. Ngoja na Mimi nianzishe Uzi wa kukusifia.Hana lolote anajikomba komba tu kwa Diamond tokea wiki iliyopita.
Ngoja tuone mwisho wake
Nakuunga mkono pia.Hapa anasubiriwa mtoto akue tu coz ndo muweka bond,otherwise dogo anawaza kutanua na watoto wakali wabichi wabichi sio huyo mzee classic
Hawaelewani ..km kuna kipindi unakumbuka wolper alimwambiaga wema km vipi amnunulie kitanda na godoro akae atulie...ikazua ugomvi mpk mama wema akaingilia..Niliweka muda naona ndo imekua activated now.... naona wolper siku hiz full kujilavusha kwa zari na ndomo, hivi huyu wolper wanaelewana na wema kweli