Wolper akiwa ukweni

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,720
215,778



Naye Wolper alipost picha akiwa na mama mkwe na kuandika: I am having the best time of my life.. Nikiwa na Mama angu… Kabla hamjatoka lazima mpige story, akuchekeshe… Mjipikilishe.. Akushauri
Hapa nimepata rafiki kwa kweli…I love my mama Mkwe.. Mama Raj wangu.”

 





Wikiendi iliyopita hitmaker wa Bado, Harmonize alimpeleka mpenzi wake Jacqueline Wolper kwao Mtwara alikoenda kutumbuiza kwa mara ya kwanza tangu aukwae ustaa kupitia label ya WCB.

“Time Ya Kumsaidia mama Harmo Kuanda Chakula Cha Usiku Mtwara Life @wolperstylish,” aliandika Harmonize kwenye picha inayomuonesha Wolper akichuma matembele shambani.
 
Mama mzima kama Wolper anapandwa na katoto kama Harmonizer!....ni aibu!......Ewe Muumba niepushe kufungwa nira za mapenzi kama hizi katika maisha yangu!


Ukijiona mtu mzima lakini vijana bado wanakutamani ujue bado wamo, kwahiyo usiwabanie.
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…