U uzia syden Member Apr 14, 2015 6 0 May 27, 2017 #1 Walipeni walimu mapunjo ya mishahara uhakiki umeisha
Hassan Enzi JF-Expert Member Dec 7, 2015 207 53 May 27, 2017 #2 uzia syden said: Walipeni walimu mapunjo ya mishahara uhakiki umeisha Click to expand... Subirni kwanza tunaweka mambo sawa
uzia syden said: Walipeni walimu mapunjo ya mishahara uhakiki umeisha Click to expand... Subirni kwanza tunaweka mambo sawa
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,651 71,008 May 27, 2017 #3 Mmmh aisee....kwa style hii ulivyowasilisha unadhani wamekusikia kweli
Papaa Kinyani JF-Expert Member Feb 25, 2013 1,459 699 May 27, 2017 #4 Vile vile wanunue vitabu. Huku shuleni hakuna vitabu vya kiada, walimu tunapata taabu sana, hivi vya TIE ni vibovu waviondoe, vinapotosha watoto
Vile vile wanunue vitabu. Huku shuleni hakuna vitabu vya kiada, walimu tunapata taabu sana, hivi vya TIE ni vibovu waviondoe, vinapotosha watoto
darcity JF-Expert Member Jul 20, 2009 9,101 18,052 May 27, 2017 #5 Ndalichako anatafuta lengine ili hivyo viposho vichepukwe tena mwaka huu