Wizara ya Ardhi yatangaza kupiga mnada viwanja visivyolipiwa kodi, imo hoteli ya Mange Kimambi

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,487

Jamani hii Triz Motel si ya familia ya MangeKimambi hii? Kweli matajiri watoto(kaka zake Mange) wanashindwa kulipa kodi ya Ardhi?

Eneo kubwa sana lile halafu liko barabarani halafu mtu analichezeachezea hadi linapigwa mnada?

====
Magufuli has decided to sell my family's hotel which I have 25% ownership in #4 .

By the way my family hawajui anything about this. Ni Mimi ndo nimefanya kuwaambia Sasa hivi kwa message kubwa Magu anauza hotel eti tunadaiwa kodi ya ardhi. Yani ni kichekesho cha mwaka...... Hawana barua Hata moja ya kuambiwa wakalipe chochote ardhi. Na nilimake sure wanalipa kodi vizuri ili tusimpe sababu.....

Mzee wewe uza mpaka nyumba za babangu zooooote, fanya lolote lile as long as utaniacha Hai sitokuachaaaaaaaa

Mnakumbuka niliwaambiaga kuwa Hata Dr Mwele alimtumbua kwa ajili yangu na hamkuamini I think Leo mmeamini..... Dr. Mwele alikuwaga ananiambiaga kila siku Mange naomba umuache Huyo mzeee atanifukuza kazi. And he did.... Na familia yangu walikuwa wananiambia Mange muache Huyo Mzee atatufanyizia....

Kama serikali imefikia hapa basi nchi imekwisha.

Source: Mange mwenyewe
 
Jamani Serikali imefikia pabaya sana. Namba NNE (4) ndiyo mali ya Mange kimambi yaani mali ya familia ambayo Mange ana 25% ya umiliki wa mali hiyo.
.
Magufuli has decided to sell my family's hotel which I have 25% ownership in #4 .
.
.
By the way my family hawajui anything about this. Ni Mimi ndo nimefanya kuwaambia Sasa hivi kwa message kubwa Magu anauza hotel eti tunadaiwa kodi ya ardhi. Yani ni kichekesho cha mwaka...... Hawana barua Hata moja ya kuambiwa wakalipe chochote ardhi. Na nilimake sure wanalipa kodi vizuri ili tusimpe sababu.....
.
.
.
Mzee wewe uza mpaka nyumba za babangu zooooote, fanya lolote lile as long as utaniacha Hai sitokuachaaaaaaaa
.
.
.
Mnakumbuka niliwaambiaga kuwa Hata Dr Mwele alimtumbua kwa ajili yangu na hamkuamini I think Leo mmeamini..... Dr. Mwele alikuwaga ananiambiaga kila siku Mange naomba umuache Huyo mzeee atanifukuza kazi. And he did.... Na familia yangu walikuwa wananiambia Mange muache Huyo Mzee atatufanyizia....

Kama serikali imefikia hapa basi nchi imekwisha.
Tafadhari mods naomba msifute huu Uzi.

Source: Mange mwenyewe
 
Za mange ndio ziko wapi mbona sijaona jina mkuu
 
Mods ninaomba mtuambie huu Uzi umekiuka sheria namba ngapi? Huu Uzi kwa nini mmeufuta haraka kiasi hicho?
 
Jamani hii Triz Motel si ya familia ya MangeKimambi hii? Kweli matajiri watoto(kaka zake Mange) wanashindwa kulipa kodi ya Ardhi?

Eneo kubwa sana lile halafu liko barabarani halafu mtu analichezeachezea hadi linapigwa mnada?
Kama ni kweli wanalipa kodi ni kwa nini wasiwahi Mahakamani kuonyesha risiti halali za malipo ili kuweka zuio ? Na kama bado hawajalipa, basi wawahi walipe kodi. Kumbuka kulipa kodi ni Wajibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…