🤣🤣Kuna wahusika wake JombaWew si DR chuo hamkujifunza ata kutengeneza madawa ata kidogo?
Oh kwahy wew unajua kuchungulia katoma ya watu na kuyadunga sindano tu 😂 sawa🤣🤣Kuna wahusika wake Jomba
🤣Ni wakati sasa tupandishe zipu na kufunga kufuli, scary!
Nitajuaje kama mmeukumbatia.
Ni sawa na MTU Mjinga kukaa kimya alafu akuambie 'Kukaa kimya pia ni jibu'.
Inawezekana robo 3 wakawa wako kwenye doziNi wakati sasa tupandishe zipu na kufunga kufuli, scary!
Mbaya zaidi huko bungeni ndio kuna wahanga wengi wenye uhitaji wa ARVsNilitegemea baada ya kauli ya Trump na washirika wake....
Bunge lilipoanza lingejadili au kuweka kikao cha dharura... Lakini kwa bahati mbaya 🤔🤔🤔
Ngoja tuone, naona USAID this week inasimamisha shughuli zake, vipi huduma zitaendelea au lah'?
Naomba serikali ifanye jitihada za haraka moja ni kushusha pressure iliyopo kwenye jamii hasa kwa ndugu zetu, marafiki na wanapata huduma hizi lengo ni kuwapa faraja na kuwapunguzia wanachokiwaza na kukipitia
Mkuu wewe umejiandaaje kubutua pesa kipindi hiki cha panicking?Usalama wa Taifa ni pamoja na Utulivu wa Raia wake.
Kiukweli kabisa Huwa Nashangaa hii Nchi yetu vipi ?.
Trump kajitoa WHO, taarifa na vumi mbalimbali kuhusiana na upatikanaji wa ARVs zikizunguka kwenye mitandao ya kijamii Kila kukicha, LAKINI HUSIKII SERIKALI IKICHUKUA HATUA ,KUONGEA NA VYOMBO VYA HABARI ILI KULETA UTULIVU KWENYE JAMII.
Yaan hii Nchi Kila kitu kinachukuliwa Poaa tu, hapo suala nyeti kama hili lianchukulia tu ka ni stori za mitandaoni za udaku basi !!.
Tafasiri yake ni nini? Serikali imeacha mwanya ambao Wahuni , Watumishi wezi wasokua na Uadilifu kutengeneza "UKOSEFU HEWA " wa Dawa za ARVs , hali inayoenda kuzalisha "Vita kubwa ya upatikanaji wa dawa Kwa watumiaji wa ARVs .
Watumiaji wa ARVs ni wazi Sasa wanaenda kuingia kwenye mashindano ya kupata , hali hii inaenda kufanya WENYE HELA KUPATA DAWA HIZO NA KUJITUNZIA ZA ZIADA ,Huku Masikin wakiambiwa "Dawa hazipo, Trump kasitisha!!.
Chonde chonde Serikali, Usalama wa Taifa, TAKUKURU , Hakikisheni Mnaleta Utulivu Kwa Jamii, Kila Mmoja aiingie kazin Rasimi .
Ndugu zangu watumiaji wa ARVs, Dawa zipo za Kutosha, Usikubali MTU akutengenezee mazingira ya kuzinunua.
ARVs haziuzwi ni Bure.
Watumiaji wa ARVS bila kujalisha hali zao za kiuchumi wote wanahaki ya kupata ARVs .
Naona Ongezeko kubwa la Maambukizi ya VVU.
Naona Vifo vingi ambavyo Si tu vitahusiana na UKIMWI , la hashaaa, vitahusiana na watu kutokua na Taarifa sahihi sambamba na hii crisis hewa itakayoletwa na watumishi wasokua na maadili.
Mwaka huu ni Dawa ni Bure NETANYAHU NA JOEBIDEN WASHATOA mwaka kesho ndio itakuwa changamoto kidogo so Anza kutunza pesa au Fanya ni pm nakupa dawa za kienyeji unaponaUsalama wa Taifa ni pamoja na Utulivu wa Raia wake.
Kiukweli kabisa Huwa Nashangaa hii Nchi yetu vipi ?.
Trump kajitoa WHO, taarifa na vumi mbalimbali kuhusiana na upatikanaji wa ARVs zikizunguka kwenye mitandao ya kijamii Kila kukicha, LAKINI HUSIKII SERIKALI IKICHUKUA HATUA ,KUONGEA NA VYOMBO VYA HABARI ILI KULETA UTULIVU KWENYE JAMII.
Yaan hii Nchi Kila kitu kinachukuliwa Poaa tu, hapo suala nyeti kama hili lianchukulia tu ka ni stori za mitandaoni za udaku basi !!.
Tafasiri yake ni nini? Serikali imeacha mwanya ambao Wahuni , Watumishi wezi wasokua na Uadilifu kutengeneza "UKOSEFU HEWA " wa Dawa za ARVs , hali inayoenda kuzalisha "Vita kubwa ya upatikanaji wa dawa Kwa watumiaji wa ARVs .
Watumiaji wa ARVs ni wazi Sasa wanaenda kuingia kwenye mashindano ya kupata , hali hii inaenda kufanya WENYE HELA KUPATA DAWA HIZO NA KUJITUNZIA ZA ZIADA ,Huku Masikin wakiambiwa "Dawa hazipo, Trump kasitisha!!.
Chonde chonde Serikali, Usalama wa Taifa, TAKUKURU , Hakikisheni Mnaleta Utulivu Kwa Jamii, Kila Mmoja aiingie kazin Rasimi .
Ndugu zangu watumiaji wa ARVs, Dawa zipo za Kutosha, Usikubali MTU akutengenezee mazingira ya kuzinunua.
ARVs haziuzwi ni Bure.
Watumiaji wa ARVS bila kujalisha hali zao za kiuchumi wote wanahaki ya kupata ARVs .
Naona Ongezeko kubwa la Maambukizi ya VVU.
Naona Vifo vingi ambavyo Si tu vitahusiana na UKIMWI , la hashaaa, vitahusiana na watu kutokua na Taarifa sahihi sambamba na hii crisis hewa itakayoletwa na watumishi wasokua na maadili.
Kuna haja ya kujitafakari, ngono sio kitu cha kumfanya mtu ashindwe kujizuia.Inawezekana robo 3 wakawa wako kwenye dozi
Ni kweli kabisa mkuu.Hizi nyuzi zinatosha sasa! Tuwaache ndugu zetu waishi kwa matumaini.