uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,363
- 15,913
Napongeza sana uwekezaji wa Azam kwenye SeaTax , vivuko vipya kutoka Kigamboni - Magogoni - Kigamboni.
Ni jambo jema japo lilichelewa.
Ishu inakuja kwenye gharama ya kuvuka, kwa sasa ni Tsh 200/= ila kuna tangazo la bei Mpya ambayo ni Tsh 500/= ikiwa ni ongezeko la % 150.(asilimia) na kadi zao watauza kwa Tsh 3,000/= kutoka Tsh 1,000/= (N-Card)
Wanaotumia hivi vivuko kwa wingi zaidi ni Wanafunzi.
Wanachuo walio wengi wanaishi Kigamboni kwasababu ya urahisi wa kuvuka, means analipa Tsh 400 tu kwa siku anafika Chuo.
Kwa sasa itawalazimu kulipa 1,000/= kwa siku ili waweze kutumia SeaTax.
Waangalie hili linaweza kuathiri mambo kadhaa au lengo lililopo lisiafikiwe, watu wakaendelea kubanana kule kule kwa Tsh 200.