zombi JF-Expert Member May 6, 2008 1,618 1,336 May 25, 2017 #1 wadau Microsoft office 2010 yangu haidect printer. ni option ya send to note 2010 tu ndiyo iko ready. wenye uzoefu nipeni solution.
wadau Microsoft office 2010 yangu haidect printer. ni option ya send to note 2010 tu ndiyo iko ready. wenye uzoefu nipeni solution.
Singida ndio home JF-Expert Member Feb 23, 2012 3,188 3,360 May 25, 2017 #2 Search drivers na software ya hio printer google then download mfano " hp laserjet 4500 printer drivers"
Search drivers na software ya hio printer google then download mfano " hp laserjet 4500 printer drivers"