Wimbo "Mtoto wa Geti kali" wa Inspector Haroun haukuwa kwa ajili ya mwanamke (haukumlenga mwanamke)

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
17,084
32,021
Wimbo wa mtoto wa geti ulikuwa kwa ajili ya kuwapa faraja " watoto wa kiume" (elewa maana ya " mtoto" wa kiume) pamoja na wanaume makabwela wasio kuwa na akili za kiume.

Wimbo huo ulikuwa una appeal zaidi na nafsi na fantasy za makundi ya watu nilio wataja hapo juu yani watoto wa kiume(wavulana ambao bado hawajapevuka kiakili) pamoja na wanaume makabwela ambao pia hawajapevuka kiakili.

Wakati wimbo huo unatoka mwaka 2001 nilikuwa form 3 with (15/16) years of age. At that time niliuona wimbo wa maana kwa sababu ulikuwa una match na wild fantasy za kwenye mindset yangu (utoto utoto na kutokuwa na ufahamu kuhusu wanawake)

Kamwe wimbo huo hauku appeal na "mwanaume" ambae amekamilika na kupevuka kiakili ambae anajua kwamba mwanaume kamili lazima awe ndio provider kwa mke wake na sio yeye kuwa provided.

Ni sawa na wimbo wa Zali la Mentali wa Jay ambao nao pia ni replica ya wimbo mtoto wa geti Kali.

Yani wewe umekaa zako hapo tandale kwa tumbo unauza mkaa halafu ghafla anatokea mtoto wa kike mrembo anakwambia "mambo naitwa Vikie Nna miaka 22 nakaa masaki nimekupenda". Hili ni tumaini ambalo haliwezi kukaa kwenye kichwa cha mwanaume ambae yupo timamu kichwani.

Kama ikikutokea hiyo scenario mkuu nenda karipoti polisi haraka sana.

Nyimbo za mapenzi zinazo appeal na moyo na akili ya mwanamke ni kama asemavyo "50 cent" kwenye :21 Question" "I will provide every thing u need "

Hizo ndio aina ya msg zinazo appeal na mind na moyo wa mwanamke.

"Nitakupa kila kitu unacho taka. Ntakupeleka shopping Dubai etc."

Mwanamke ameumbwa kupewa sio kutoa. Atakupa kile unacho mpe wewe mfano mpe shahawa baada ya miezi tisa anakupa mtoto etc.

Mwanaume kuwaza kama alivyo waza inspekta kwenye mtoto wa geti Kali au Jay kwenye zali la Mentali ni sawa na mwanaume kutegemea mwanamke akuzalie mtoto damu yako bila wewe kumkaza.

Mwanamke hajaumbiwa shida, ndio maana Mungu alipo muumba Adam alimpa kwanza utajiri " Eden" kisha ndio akampa Hawa.
 
Fikra chanya Mkuu. Tafadhali endelea kuwakumbusha vijana ili wasiendelee kupotea. Shida inaanzia kwenye malezi, mtazamo wa jamii kuhusu mwanamke na privalage ambazo dunia inatoa kwa wanawake kwa sasa.
Gradually, vijana wanabadilika wanautamani uanamke kuliko uanamume.

Vijana wana copy sana kutoka katika maisha ya mama zao na matokeo yake wanawaza kupata zari la mentari, na wengine wana tamani wapewe treatment wanazopata wanawake, matokeo yake ndio hivyo tena. Kadhalika, wanaume wa sasa nasi ni tatizo, kwani baadhi yetu atutekelezi majukumu ya kifamilia ipasavyo na tunafanya matendo ambayo yanafanya tusiwe inspiration kwa watoto wetu.

Inasikitisha
 
Nakazia
 
Mtoto wa geti Kali amekubali Kula ugali na kachumbali....

Lakini kabla haujadiss Ngoma ya jay kua ilikua Kwa ajili ya wavulana unajua maana ya "zali la mentali"???
 
Inasikitisha sana!
Vijana wote kike na kiume wanatia aibu.
Yaani tumefikia hatua kijana kike na kiume wanakaa pamoja na promoter wanakubaliana warekodi X kwa lengo la kuuza? Alafu promoter/anaye post anatengeneza mazingira ionekane imevuja!
Hiki ni kiwango cha juu cha vijana kukata tamaa na maisha, kiasi cha kutojari lolote. Hawana hofu kabisa.
Tunakoelekea vijana wakipewa dau zuri wanaweza hata kurekodi X ya kiume kwa kiume.
Hii ni ishara kuwa X industry ikiruhusiwa tu nchini, vijana wengi watakimbilia huko.
Matajiri nao wanatumia hii frastuation ya vijana wa kizazi cha leo kuwaharibu.
Sijui tumtume nani asimamishe hili janga.
Inasikitisha.
Mungu atupiganie vizazi vyetu vipone.
 
Mimi pia kama pesa inayowekwa mezani inaingia akilini naigiza X.

Ni nitafanya ninachofanya daily ila sasa hivi nampa chance mtu mwingine aons ninavyofanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…