Wimbo: Dume suruali wa Mwana FA

Wang Shu

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
2,563
3,715
Huu wimbo mpka Mh.Magufuli alipimgia simu Mwana FA kwa mashairi yake..
Chorus
"We ni dume suruali kaa mbali nami,mbali nami Kama dume suruali kaa mbali nami,mbali nami,huendani nami..........."
Verse
"Hii ni salamu na ufahamu kama unauza mapenzi sio kwa binamu""Huna haja kusubili hii ni hukumu"
"Hakuna kitu utapata utangoja kama askari wa zamu"
"Dume suruali,dume Kamptura shauri zako ilimradi sipati hasara"
"Usione utani mi sihongi hata kwa ishara" "Utanambia nini mpaka unigeuze fala" "Kwanza nasikia hongo zinaleta mikosi"
"Sometimes**** hata ukiongea kidosi yabaki mapenzi tu tusileteane ujambazi""Hata upige sarakasi utachonga viazi"
"Bahili kama nini!!!???!" "Ndo mnavyosema! ukiniomba tena kesho hunisikii tena kwani unauza nini dada hunitakii mema!
Chorus.....
Verse
Nihonge nanunua nini? Kwanini yani?Kuna kipi nisichokijua ina Tv ndani.....

Malizia...........
 
Mkuu hapo ulipo unapata konyagi naona inapanda kichwani unatuletea Uzi haueleweki chonde usije lewa chakari ukavunja mguu kama yule bwana
 
Mkuu hapo ulipo unapata konyagi naona inapanda kichwani unatuletea Uzi haueleweki chonde usije lewa chakari ukavunja mguu kama yule bwana
wenye akili ndogo hawataelewa vitu vigumu kama hivyo iyo Lyrics ya wimbo yani mnataka maelekezo km darasani dah.....
 
Usipende hela kama mfuko
Au fanya unavyofanya upate zako
Vishawishi vingi binti sema na moyo wako
Na ujifunze pesa zinauza utu wako...
 
Back
Top Bottom