Wimbi la wanaume kutafuta wenzi mtandaoni

mr promise

Senior Member
Feb 14, 2015
142
135
Wasalaam wana JF,

Sikuhizi kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wa kiume kutafuta wapenzi mitandaoni.

Je sababu haswa ni ipi?
Je ni kutojiamini au mitandaoni ndo kuna wapenzi wakweli?
 
Madomo zege hao au wanatafuta wanawake ambao ni easy going, lakn hata wa kike wako kasi kutafuta
 
Sio kila kitu unapaswa kukileta hapa Kama swali unaweza ukafanya hata kautafiti kadogo wewe mwenyewe halafa ndio unaweza ukaja na Uzi Wa haya ndio niliyobaini kwa nini vijana wengi wanatafuta wapenzi katika miatandao. Try to think yourself and avoid someone to do your part.
 
Eve bwana, Kwani tukifahamiana mtandaoni nitamtongozea humo?

Mara ya mwisho kukutana live na msichana na kumtongoza was in 2007, baada ya hapo imekuwa online tu.
Ha ha ha online user eeeh, na kupiga ni online?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…