Kinachoitwa Urusi kuingilia uchaguzi wa Marekani.
Emails za viongozi was democrats zilivujishwa July 2016 zikionesha viongozi wakifanya mipango ya kumpendelea Clinton over Bennie Sanders. Mwenyekiti akajiuzulu. Ikatafutwa kampuni binafsi kuchunguza nani kavujisha. Ikasema Urusi,hakuna aliyeprove mwingine kuwa ni Russia.
Huu uvujaji uli tarnish image ya chama. Huo ndio unaoitwa udukuzi was urusi kwenye uchaguzi was USA. Hawakuiba kura. Ni kuchange minds za wapiga kura.