A
Anonymous
Guest
Wakazi wa mwanza, wilaya ya nyamagana kata ya Buhongwa maji yamekuwa ni changamoto sana, tuna wiki ya pili hatuna maji na kila mara hii hali hujirudia rudia.
Tushalifikisha mpaka kwa mwenyekiti lakini jambo limekuwa kizungumkuti.
Hii changamoto utatatuliwa lini?
Pia soma
Tushalifikisha mpaka kwa mwenyekiti lakini jambo limekuwa kizungumkuti.
Hii changamoto utatatuliwa lini?
Pia soma
- KERO - Tatizo sugu la Maji jijini Mwanza
- MWAUWASA: Mwanza hakuna changamoto ya uhaba wa huduma ya maji, mteja mwenye changamoto awasiliane nasi
- Mwanza: Maji yaanza kutoka Buhongwa. Ni baada ya Waziri Aweso kuweka Kambi na Mafundi Site
- √ - News Alert: - Waziri Aweso amtimua kazi Meneja wa RUWASA wilaya ya Misungwi Marwa Kisibo, kutokana na kushindwa kusimamia miradi ya maji ipasavyo