Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,012
- 121,292
anatafuta cheti cha ndoa cha daudi akiamka huko itakuwa taabuYule askofu msanii naona wiki hii hana kiki kabisa.
Yuko kimya sana. Sasa sijui ni kwa sababu gani.
Au labda ni ile hulka yetu ya kudandia dandia vitukio huku na kule na kusahau ndani ya muda mfupi.
Dizaini tushamchoka na hayo madai yake ya kumiliki vyeti vya Paul Makonda na Daudi Bashite [hivi kweli kuna mtu aliyeamini kwamba huyo Gwajima anavyo hivyo vyeti ofisini kwake?] na hao mashahidi wake wa kutoka Koromije huko.
Hey Gwajima...where you at man?
anatafuta cheti cha ndoa cha daudi akiamka huko itakuwa taabu
Tunahitaji vyeti tuYule askofu msanii naona wiki hii hana kiki kabisa.
Yuko kimya sana. Sasa sijui ni kwa sababu gani.
Au labda ni ile hulka yetu ya kudandia dandia vitukio huku na kule na kusahau ndani ya muda mfupi.
Dizaini tushamchoka na hayo madai yake ya kumiliki vyeti vya Paul Makonda na Daudi Bashite [hivi kweli kuna mtu aliyeamini kwamba huyo Gwajima anavyo hivyo vyeti ofisini kwake?] na hao mashahidi wake wa kutoka Koromije huko.
Hey Gwajima...where you at man?
hahahah anasema hajawahi kutumia kilevi chochote... yuko hivi angekuwa mtumiaji?Teh teh teh...labda Jumapili atapasua tena mbarika na kutangaza anacho hicho cheti cha ndoa ofisini kwake.
What a charlatan.
Gwajima ni mzushi au Inawezekana akawa mkweli Lakini kinachoniumiza ni jinsi watanzania hata wasio Waumini wake kumwamini kiasi kile yaani nilishindwa kuamini hadi mke wangu kwenye simu Yake ETI kajaza clip za Gwajima anaskia Muda wote. Nikamuuliza vipi mbona unadata ETI akawa anashangilia ooh makonda kashikwa huku hachomoki Kwa Gwajima. Nikabaki najiuliza kumbe watu shida yao makonda ashikwe tu yaani mtu hajawahi kukukosea unakuwa na chuki naye? Nikabaki najiuliza kwanini makonda apigwe vita Sana nikagundua wauza madawa wako na nguvu Sana wako na Mbinu nyingi Sana mpaka za kucheza na akili za watu. Nilifuta clips zote maana ni ujinga mkubwa mtu umekaa unamfuatilia Gwajima hadi Kanisani kwake uende kisa anabishana na mwanasiasa mkuu wako wa mkoa. Pumba Sana watanzania wengi
Pope kahusika vp apa mkuuGwajima is a charlatan. Heck, the Pope is a charlatan.
Ila hawezi kufunikwa mpaka Bashite atoe vyeti na kutuhakikishia kwamba yeye ni Paul Makonda na si Daudi Bashite.
Siyo Lisu tena?Pamoja na kumbeza,huyu ndio shujaa namba moja...
Hao campaigners ni akina nani na hizo kampeni wanafanyia wapi?Gwajima anawaharibia campainers wa 'MAKONDA MUST GO!'
Sasa hivi tuna tunaenda vituvikali vya MANGE KIMAMBI,Gwajima kashatupa zake zimetutosha,na mengine anayapika kaa mkao wa kula.Yule askofu msanii naona wiki hii hana kiki kabisa.
Yuko kimya sana. Sasa sijui ni kwa sababu gani.
Au labda ni ile hulka yetu ya kudandia dandia vitukio huku na kule na kusahau ndani ya muda mfupi.
Dizaini tushamchoka na hayo madai yake ya kumiliki vyeti vya Paul Makonda na Daudi Bashite [hivi kweli kuna mtu aliyeamini kwamba huyo Gwajima anavyo hivyo vyeti ofisini kwake?] na hao mashahidi wake wa kutoka Koromije huko.
Hey Gwajima...where you at man?
Yule askofu msanii naona wiki hii hana kiki kabisa.