Mtayarishaji
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 291
- 199
Ni suala ambalo nimekuwa nikijiuliza sana, nimejaribu ku-google lakini sijafanikiwa kupata chochote kulingana na swali linavyouliza hapo juu. Sana sana nilichokutana nacho ni Most Powerful Intelligence Agencies In The World na ule uzi uliopachikwa humu humu uhusuo top ten intelligence agencies of the world.
Nisaidie mdau, ninatamani kufahamu sana nikiwa ni mmoja wa waafrika lakini zaidi Mtanzania Mzalendo Which countries in AFRICA have the best intelligence agencies? au kama kwa hilo litashindikana kabisa kupatikana basi hata ka-top ten intelligence agencies in Africa.
Natanguliza Shukrani.