What's behind China's breakthrough in space science and technology in recent years?

Le professel

JF-Expert Member
May 14, 2019
603
905
Ni nini kipo nyuma(siri) ya mafanikio makubwa ya nchi ya china katika sayansi ya anga za mbali na teknolojia?

Nimekuwa nikijiuliza swali hili na nimeona vema kushiriki na wanajamvi la jamii intelligence ili kuweza kupata chochote kwani Nina amini uwepo wa watu wenye dondoo kuhusu jamuhuri ya watu wa china.

Baadhi ya mafanikio yao katika sayansi ya anga za mbali ni kama;

1. Kumiliki kituo cha anga za mbali cha peke yao ( Tiangong Space Station)

2. Kufanikiwa kufanya safari za mwezini na kuchukua sample za uongo, Jambo ambalo china amelifanya kwa mara ya kwanza baada ya miongo minne kupita.
(Chang'e 5 & Chang'e 6 missions)

3. Safari za china kuelekea anga za mbali zimekuwa salama zaidi. Kutokana na kutokupata changamoto kama ajali zilizohusisha vifo vya wanaanga.

Kwa habari ya maendeleo ya teknolojia, iko wazi kabisa....vitu kama magari ya umeme ambayo yamekuwa mpaka yakitumika katika baadhi ya nchi za ulaya.

Tchaooooo

Cc Vandma Pro
 
Chang'e 5
images (30).jpeg
 
Back
Top Bottom