Whats app waongeza uhondo wa status

kedrick

JF-Expert Member
Apr 25, 2015
5,075
4,911
kampuni ya whats app imeongeza uhondo wa status ambapo sasa status inakuwezesha kuweka picha, video au GIF na pia inakuwezesha kujua nani alio view status yko.

Ili mtu aweze ku set status anatakiwa aingie kwny category ilioandikwa status then chagua kitufe cha camera hapo utaweza kuchagua n picha ipi au video ipi toka kwny gallery yko unataka kuiweka km status yko na pia inakuewezesha kuandika maneno au kuset emoji kwny picha au video husika

Status hii itakaa kwa masaa 24 na na unaweza kuichange mda wowote au kuidelete.





















kitufe cha kudelete kinaonekana hapo pembeni
 
Niliupdate picha zangu na video zilizokuwa ndani ya folder ya whatsapp ndani ya photo Gallery zikatoweka.

Kuna kitu nilikosea wakati ninaupdate?
 
Mmmmmh sio mbaya sana lakini itafikia hatua itaboa sasa maana mbwembwe nazo zimeanza kuwazid
 
Nisaidien namna ya kujua mtu aliechungulia profile yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…