UMUGHAKA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 2,650
- 12,499
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!.
Leo Wachambuzi na waandishi Washakunaku na Wenye Vihehere wanashangilia hili suala la Feisal kuondoka Yanga kwa kuvunja mkataba kihuni,wengi wanasherehekea hadi magego yanaonekana kwa furaha!.
Bahati nzuri ni kwamba,TFF haina lawama kwasababu walikiri kabisa ya Kwamba Feisal amekosoea,Sasa kama tujuavyo mpira wetu umejifungamanisha na siasa za kitapeli,kwakuwa Yanga ni moja ya Timu iliyojifungamanisha na siasa imeamua kusimama kwenye siasa na kuacha Kanuni na miongozo ya kimpira iliyo chini ya FIFA na CAF.
Kwakuwa tumeruhusu huu uhuni kwa kelele na shangwe zisizomithirika,basi "MCHUMA JANGA HULA NA WAKWAO",Hivyo ndivyo itakavyo kuwa kwa miaka michache ijayo.
Leo Wachambuzi na waandishi kwasababu tu wanaichukia Yanga wameamua kusimamia uvunjwaji wa sheria kwa waziwazi,hilo wala haliiumizi Yanga,Yanga amebeba Ubingwa na amekuwa na mafanikio pasipo uwepo wa huyo Feisal.Kwakuwa tumeiruhusu hii hali basi tujiandae kulia kwa siku zijazo.
Leo ni kwa Yanga ila kesho litatokea kwa timu yeyote ile,kulia kupokezana.
Ni hayo tu.