Wewe ndiye dereva wa maisha yako mwenyewe, don't expect to be adjusted!

Gervasjr

JF-Expert Member
Apr 3, 2019
1,604
3,137
Wakuu kwema? Habari za weekend.

Najua wengi wameshaongea ila me nakumbushia tu kuhusu hili jambo.

Wengi wetu huwa tuna matarajio makubwa sana hasa pale inapoonekana kuna tagi inabidi likufikie kutoka kwa mtu yeyote awe ndugu au rafiki. Lakini huwa tunavunjika moyo na kuwaona watu wabaya hawatupendi wana roho mbaya pale tagi linapoyeyuka bila kutaraji.

Sasa me niseme jambo moja, wewe kama una pambania kombe.... pambana sana, tena kaza unavyoweza ili hata kama kutakuwa na tagi mbele yako likukute upo kwenye line unasonga and incase tagi limezingua basi hutoki kwenye line. Hii itakukumbusha kuwa wewe mwenyewe ndiye dereva wa maisha yako, usitarajie eti atakuja mtu kuyaendesha au kukusaidia, siku hizi watu wana roho mbaya sana! Halafu kila mtu amechelewa! Kwahiyo wapo less na maisha yao.

Nb: yule last King wa Scotland sio Iddi amin wa Uganda

Jioni njema
 
Wakuu kwema? Habari za weekend.


Najua wengi wameshaongea ila me nakumbushia tu kuhusu hili jambo.

Wengi wetu huwa tunamatarajio makubwa sana hasa pale inapoonekana kuna tagi inabidi likufikie kutoka kwa mtu yeyote awe ndugu au rafiki. Lakini huwa tunavunjika moyo na kuwaona watu wabaya hawatupendi wana roho mbaya pale tagi linapoyeyuka bila kutaraji...
Nakaba seat kwanza
 
Back
Top Bottom