Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,906
ulisoma hesabu za logic mkuu?Mh! Mtoto wa miaka minne kweli asipige kelele wazazi wasikie? Any way, tufanye hawakusikia. Kama housegirl anaujasiri wa kumuingiza teja usiku nyumbani na wazazi wote wanafanya kazi, kwanini asimlete teja mchana alasiri kabla wazazi hawajarudi nyumbani? Any way kwa dunia ilivyo, yote yanawezekana. Lakini binafsi sijui kwanini nimegoma kusadiki
Hahaaaa! Nirishawahi kuiona sehemu sio humu kweli?Si kweeri
Hahaaaa! Nirishawahi kuiona sehemu sio humu kweli?
ulisoma hesabu za logic mkuu?
Heeee= nilishawahi
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
= nilishawahi
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Heeee
Kwa mara ya kwanza aiseeUmetumbuliwa na bibi kifimbo cheza
Duh... ngejua hta nisingesoma. Imeniuma sana
Pole...njoo nkukumbatie