Upo sahihi maana hawa weusi wa Kusini juzi waliwapiga na kuwaua weusi kutoka nchi zingine, sasa itakua ngumu kuonewa huruma wanapodhulumiwa na hao Wazungu. Waafrika wenyewe tunaishi kwa kuchukiana kwa misingi ya mipaka aliyochora huyo mzungu, bora tupigwe tu hadi tutie akili...pumbavu zetu.
Weusi wanapokea kichapo maeneo mengi dunia hii.