Wakuu Naomba mwenye uzoefu naomba anisaidie
Nimefungua ofisi ya biashara ya miamala ila napata changomoto watu wakitoa pesa kwa wingi float inajaa,
Changamoto inakuja namna ya kupunguza salio la kwenye machine ili kupata cash hasa kwa selcom ambapo tumejiunga na benki kadhaa. Tumefuatilia makao makuu ya Selcom wanasema hawana huduma labda tutafute wengine wenye machine hizo tuwapunguzie ambacho siyo kitu rahisi.
Kwa benki zingine kama NMB mwenye account pekee ndio anaruhusiwa kutoa hela benki kama umetoka au umesafiri haiwezekani.
Kwa mitandao ya sim hamna shida kwani unaweza kuongeza flaot au kupunguza na kupata cash kwa mawakala wakuu ambao hawana sheria zozote ngumu mtu yoyote anatoa au kuweka
Je wazoefu changamoto hizi mnafanyaje kwenye selcom kupunguza float ili upate cash na kwenye bank kama hauko ofisini.
Natanguliza shukranI.
Ahsanteni