KWANINI walimu wa arts wasiitwe kuwa walimu wakuu shule za msingi ili kujenga msingi wa watoto kufaulu waingiapo sekondari,wapo walimu wengi wa arts private na wengine walibugi wakakataa ajira za serikali kwanini wasiitwe kama wale wa sayansi wa akiba,nawasilisha wanajamvi tuchangie limfikie magufuli kama sio waziri wa elimu