Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,784
Ewaaa! Ndio hao hao...Wenye elimu ya hapa pale ndicho unamaanisha wanapenda kupiga pamba
Mao na IQ yake kubwa lakini suti zake zimekuwa dress code ya wengi.Sio suala la elimu tu ila mtu yeyote mwenye IQ kubwa huwa anavaa kawaida sana. Sio mtu waku mind kujipodoa. wapo ambao hawana elimu kubwa ila IQ ni Kubwa.
Kuna msanii mmoja wa movie amekuwa mweupe sababu ya kunywa maji mengi, ona jinsi alivyo mtanashati/very smart, mwisho zaidi katoboa masikio.
Unapo linganisha kitu Ni lazima uwe Na benchmark, hao wasanii ambao ww unaona hawana elimu ungewalinganisha Na wale wenye elimu., hali kadhalika Na kwa wana siasa vilevile. Pia kuwe Na cut off point Kati ya wenye elimu Na sifa zao Na wasio Na elimu Na sifa zao.Wasomi wala hawaangaikagi sana na kupendeza pendeza, labda ni kwa sababu kulingana na Maslow's hierarchical of needs, hilo sio tena suala la kipaumbele kwao..
Ila sasa wenzangu na mimi wale wenye elimu ya tia maji tia maji, ndio huwa wanapenda kupiga pamba mwanzo mwisho ili kuboost reputation zao... Wengine huenda mbali zaidi na kuweka staili za ajabu ajabu za nywele. Kama unabishana na utafiti huu angalia watu wenye elimu ndogo kama Ali Kiba, Diamond, Ray Kigosi, Hemed PhD, Geemodel and the like...
Ukitoka hapo waangalie wasomi nguli kama Prof Lipumba, Dr... Mapad Lock, yule baba wa watu yeye yuko bize na hapa kazi tu, wala hanaga muda wa kujiremba remba sana...
Sio kupenda kwao kichwa kinatingwa mkuuWasomi wengi ni wachafu unaweza mkuta profesa amevaa suti na ndala
wapo watanashati ambao wana elimu kubwa na IQ kubwa ila ni wachache sana.Hauna ukweli huo utafiti wako.labda kwa wasomi wa bongo tu ndio hawapendi kuvaa vizuri.kwasabu niwabahil,wanapokea mshahara mdogo usiokidhi mahitaji yao.watu wenye elimu ndogo ni watu wa madili.Mshiko wao hausubiri mwisho wa mwezi.Mshiko kwao wakati wowote wanaukamata.