Ndagullachrles
Senior Member
- Jun 20, 2023
- 150
- 157
Halafu hawa ndio tunaenda kukaa nao kwenye maza ya maliziano wameanza mapemaa vimbwangaSarakasi za uchaguzi mkuu zimeanza mapema,kwani hawakulijua hilo wakat wanawaandikisha,? Watazoa majina mengi sana kujazia upande wa zzm.
Kulingana na namna uchaguzi wa LG ulivyoendeshwa yaweza kuwa kwa Kila watanzania 3 mmoja ni kichaa kwa Sasa.Ikumbukwe tu katika kila watanzania wanne, mmoja ni kichaa kwa hiyo kama tulikuwa na wapiga kura walioandikishwa milioni 30 basi tunategemea wabaki milioni 7.5View attachment 3165132
Kwa hiyo wakisimama wale wakuu wa ile mihimili ? .... sijui nilitaka kusema nini🐼Kulingana na namna uchaguzi wa LG ulivyoendeshwa yaweza kuwa kwa Kila watanzania 3 mmoja ni kichaa kwa Sasa.
Kwa hiyo wakisimama wale wakuu wa ile mihimili ? .... sijui nilitaka kusema nini🐼
Hivi wameshamaliza kuandikisha kwanza nchi nzimaTume huru ya Taifa ya uchanguzi,imetangaza kuwaondoa wapiga kura 594,494 kwenye Daftari la Kudumu la wapiga kutokana na kukosa sifa za kuwa wapiga kura .
Miongoni mwa wataoondolewa ni wenye CHANGAMOTO ya afya ya akili waliothibitishwa na mamlaka husika.
Wengine ni wale waliowekwa kizuizini kwa changamoto za afya ya akili na waliowekwa kizuizini kwa amri ya Rais.
Taarifa hiyo imetolewa mkoani Kilimanajaro na mkurugenzi wa huduma za kisheria wa Tume huru ya Taifa ya uchaguzi,Seleman Mtibora wakati akiwasilisha MADA kuhusu maandalizi ya uboreshaji daftari la Kudumu la wapiga kura awamu ya kwanza kwa wadau wa uchaguzi mjini moshi .
Aliwataja wengine watakaoondolewa kwa kukosa sifa ni wapiga kura waliofariki dunia,waliofungwa gerezani adhabu ya kifo,waliofungwa jela zaidi ya miezi sita pamoja na watanzania wenye utii wa nchi nyingine.
Katika hatua nyingine zaidi ya wapiga kura wapya 5.586,433 sawa na aslimia 18.7 ya wapiga kura wote wanatarajia kuandikishwa kwenye Daftari la Kudumu la wapiga kura.
Kwa mujibu wa Mtibora,zaidi ya wapiga kura 4.369,531 wanatarajia kuboresha taarifa zao wakiwemo waliohama kutoka eneo moja kwenda eneo jingine .
Kwa mujibu wa Taarifa hiyo ,Tume inatarajia kuwa na wapiga kura Milioni 34,746,638 huku mkoa wa Kilimanjaro ukitarajia kuwa na wapiga kura 1.190,266 baada ya ongezeko la wapiga kura wapya 180,540 huku kukiwa na vituo 1,316 vya kupigia kura .
Katika wilaya ya Ngorongoro mkoa wa Arusha baada ya serikali kurejesha kata 11,sasa wilaya hiyo itakuwa na Kata 44 na vituo 40,170 vya kuandikisha wapiga kura .
Kuna watu waliachwa kutokana na muda kuifasha wakuandikisha katika maeneo yao kwanini wasitenge na muda kuwaamdikisha hawaTume huru ya Taifa ya uchanguzi,imetangaza kuwaondoa wapiga kura 594,494 kwenye Daftari la Kudumu la wapiga kutokana na kukosa sifa za kuwa wapiga kura .
Miongoni mwa wataoondolewa ni wenye CHANGAMOTO ya afya ya akili waliothibitishwa na mamlaka husika.
Wengine ni wale waliowekwa kizuizini kwa changamoto za afya ya akili na waliowekwa kizuizini kwa amri ya Rais.
Taarifa hiyo imetolewa mkoani Kilimanajaro na mkurugenzi wa huduma za kisheria wa Tume huru ya Taifa ya uchaguzi,Seleman Mtibora wakati akiwasilisha MADA kuhusu maandalizi ya uboreshaji daftari la Kudumu la wapiga kura awamu ya kwanza kwa wadau wa uchaguzi mjini moshi .
Aliwataja wengine watakaoondolewa kwa kukosa sifa ni wapiga kura waliofariki dunia,waliofungwa gerezani adhabu ya kifo,waliofungwa jela zaidi ya miezi sita pamoja na watanzania wenye utii wa nchi nyingine.
Katika hatua nyingine zaidi ya wapiga kura wapya 5.586,433 sawa na aslimia 18.7 ya wapiga kura wote wanatarajia kuandikishwa kwenye Daftari la Kudumu la wapiga kura.
Kwa mujibu wa Mtibora,zaidi ya wapiga kura 4.369,531 wanatarajia kuboresha taarifa zao wakiwemo waliohama kutoka eneo moja kwenda eneo jingine .
Kwa mujibu wa Taarifa hiyo ,Tume inatarajia kuwa na wapiga kura Milioni 34,746,638 huku mkoa wa Kilimanjaro ukitarajia kuwa na wapiga kura 1.190,266 baada ya ongezeko la wapiga kura wapya 180,540 huku kukiwa na vituo 1,316 vya kupigia kura .
Katika wilaya ya Ngorongoro mkoa wa Arusha baada ya serikali kurejesha kata 11,sasa wilaya hiyo itakuwa na Kata 44 na vituo 40,170 vya kuandikisha wapiga kura .
You know lazima kuwe na udhibitisho kwa watu hao wana matatizo ya akiliHuu ni mtego kwa wapinzani. Mara paap! Lema, Sugu, Mpina na January wameondolewa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura. Jamani tuungane kupinga ujinga huu.
Wataondolewa kisha watapewa nafasi ya kukata rufaa! Chadema ijiandae kupoteza zaidi ya robo tatu ya wanachama wake.Tume huru ya Taifa ya uchanguzi,imetangaza kuwaondoa wapiga kura 594,494 kwenye Daftari la Kudumu la wapiga kutokana na kukosa sifa za kuwa wapiga kura .
Miongoni mwa wataoondolewa ni wenye CHANGAMOTO ya afya ya akili waliothibitishwa na mamlaka husika.
Wengine ni wale waliowekwa kizuizini kwa changamoto za afya ya akili na waliowekwa kizuizini kwa amri ya Rais.
Taarifa hiyo imetolewa mkoani Kilimanajaro na mkurugenzi wa huduma za kisheria wa Tume huru ya Taifa ya uchaguzi,Seleman Mtibora wakati akiwasilisha MADA kuhusu maandalizi ya uboreshaji daftari la Kudumu la wapiga kura awamu ya kwanza kwa wadau wa uchaguzi mjini moshi .
Aliwataja wengine watakaoondolewa kwa kukosa sifa ni wapiga kura waliofariki dunia,waliofungwa gerezani adhabu ya kifo,waliofungwa jela zaidi ya miezi sita pamoja na watanzania wenye utii wa nchi nyingine.
Katika hatua nyingine zaidi ya wapiga kura wapya 5.586,433 sawa na aslimia 18.7 ya wapiga kura wote wanatarajia kuandikishwa kwenye Daftari la Kudumu la wapiga kura.
Kwa mujibu wa Mtibora,zaidi ya wapiga kura 4.369,531 wanatarajia kuboresha taarifa zao wakiwemo waliohama kutoka eneo moja kwenda eneo jingine .
Kwa mujibu wa Taarifa hiyo ,Tume inatarajia kuwa na wapiga kura Milioni 34,746,638 huku mkoa wa Kilimanjaro ukitarajia kuwa na wapiga kura 1.190,266 baada ya ongezeko la wapiga kura wapya 180,540 huku kukiwa na vituo 1,316 vya kupigia kura .
Katika wilaya ya Ngorongoro mkoa wa Arusha baada ya serikali kurejesha kata 11,sasa wilaya hiyo itakuwa na Kata 44 na vituo 40,170 vya kuandikisha wapiga kura .
Watakaobakizwa na watakaoondolewa isije kuwa kinyume chakWataondolewa kisha watapewa nafasi ya kukata rufaa! Chadema ijiandae kupoteza zaidi ya robo tatu ya wanachama wake.
Hawa jamaa ni wabunifu sana. Mi nawapongeza, ila huu ubunifu ungetumika kumkwamua mtanzania katika umaskini mzito, tungewapita hata Japan kwa maendeleo. Ila sasa !!!!!!!!!!!!Wapiga kura 594,494 wanatarajiwa kuondolewa kwenye daftari la kudumu la mpiga kura kwa kukosa sifa zakuendelea kuwepo kwenye daftari hilo.
Hayo yameelezwa leo Novemba 29, 2024 na Mkurugenzi wa Huduma za Sheria Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Seleman Mtibora wakati akimwakilisha Kaimu Mkurugenzi wa uchaguzi Taifa kwenye mkutano wa Tume na wadau wa uchaguzi uliofanyika katika ukumbi wa Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro.
Mtibora amesema kuwa baada ya uboreshaji wa daftari hilo inatarajiwa kuwa litakuwa na jumla ya wapiga kura milioni 34,746,638 ambapo kwa kuzingatia Sensa ya Watu na Makazi ya 2022, Wapiga kura wapya 5,586,433 wanatarajiwa kuandikishwa sawa na asilimia 18.7 ya wapiga kura 29, 754,699 waliopo kwenye daftari baada ya uboreshaji uliofanyika mwaka 2019/2020.
Sambamba na hilo ameeleza kuwa wapiga kura 4,369,531 wanatarajiwa kuboresha taarifa zao.
Unamuondoa kwa madai ya afya ya akili, kisha mwenye afya ya akili unamruhusu akate rufaa! Hiki ni kiroja.Watakaobakizwa na watakaoondolewa isije kuwa kinyume chak
MhWapiga kura 594,494 wanatarajiwa kuondolewa kwenye daftari la kudumu la mpiga kura kwa kukosa sifa zakuendelea kuwepo kwenye daftari hilo.