My dear me navyojua blackberry ina bundle lake special, tofauti na hizo bundle za kawaida za cheka etc. Bahati mbaya me najua kuunga bundle la bb kwa voda. Anyway ngoja niulizie then ntakupa feedback kama itakuwa bado hajajitokeza mtu mwingine anayejua
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Ahsante mkuu, nitashukuru sana kwa msaada wako, lakini mpaka sasa nashukuru kwa nia yako ya kuisaidia, hali ngumu huku.
Mashart makubwa ya b berry mojawapo lazima ujiunge mara2
Kifurushi cha BBM na kama unataka kupiga na kupokea unajhunga na chakawaida
- Nenda kwenye setting,
- Ingia Quick setting
- Angalia mobile network
- Tick Pata kwenye mobile network
- Rudi kwenye main menu
- Bonyeza Browser itaconnect
Pasco, nafikiri akishaunga hilo bundle ndo afate haya maelekezo yako, au?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Nimeunga cha kawaida cha airtel cha
*149*99# sasa, ambacho ni sh 1999 ila nina uwezo wa kupiga simu na kutuma sms tu na si intaneti yaani mpaka sasa net kwa jirani mkuu.
NB-Haitatumia hiyo bundle yako, weka pesa kwenye simu yako.
- Nenda kwenye setting,
- Ingia Quick setting
- Angalia mobile network
- Tick Pata kwenye mobile network
- Rudi kwenye main menu
- Bonyeza Browser itaconnect
Ukipata nafasi nenda ofisi za Airtel utapewa huduma za BIS kwa kujiunga na BB world, internet ni bure!, utapewa BB ID, na kujiunga na BBM zote bure!.
Faida
- Blackbery ndio simu salama kuliko simu nyingine zozote, ukiishapewa BB ID mtu yoyote akiiba hiyo simu yako, akitumia tuu BBM anadakwa, unaweza kuifunga simu hawezi tena kuiwasha, BB haina na eti kuflush na kufuta kila kitu, simu yako ya BB ikiishakuwa yako ni yako!.
- Japo net yake ni 3G, unaweza kuwapatia watu hadi 8 internet connectivity ya WIFI kupitia BB yako, unaweza kuconnect laptop yako kwa Bluetooth au kwa us cable kwenye PC yako na kuitumia kama moderm.
Hasara,
Pasco.
- Ni expensive to run, net yake haitumii bundle!, na BIS inalipiwa!.
- Ni expensive kuinunua
- Haina mchina!.