Hizi ni habar za ndan ya chama na watu wa kalibu wa wenje wemesema sasa wenje yuko mbion kuanza harakat za kulikomboa jimbo lake kutoka mikononi mwa mabula habar za ndan zinadai wenje anamalizia kuweka mambo yake sawa then arud kwa kishindo kupigana kufa na kupona ili jimbo lirud chadema hayo yamesemwa na mtu wa ndan kwenye chama ambaye hakutaka jina lake litajwe tulifanya mipango ya kumupata wenje lakin ilishindikana baada ya kumupigia cm yake iliita pasipo kupokelewa had mara tatu hata baada ya kumutumia ujumbe mfupi haukujibiwa