WENJE: KUBAGAZA MARIDHAINO NI UCHURO-WANACHEMA 400 WALITOKA JELA KWA SABABU YAKE

HUYU NI MPUMBAVU!

YAANI KAMA WAMEVUNJA SHERIA ZA NCHI THEN WATU WAKAE HUKO WAKUBALIANE USEME HAYO NI MAKUBALIANO YENYE AFYA KWA NCHI?

KAMA WALIINGIA JELA KWA KUTENDA MAKOSA,HUKUMU IWE JUU YAO,ILA KAMA WALIONEWA BASI WAACHIWE HAINA HAJA YA MARIDHIANO.

KWANZA,HAO WATU WANARIDHIANA NINI?
Wewe ni mropokaji
 
Muambieni wenje aache tabia ya kunywa visungura na kwenda kufanya press conference
 
Lisu jana kalitolea ufafanuzi jambo hilo kasema hakuna jambo lolote ambalo liko kwenye mariziano lililokubaliwa na selekali kuachiwa kwa wafungwa wa kisiasa nnchi nzima ni baada ya kamati kuu chadema kuiambia selekali ili tuje kukaa na nyinyi kwenye mariziano wafungwa na mahabusu wa kisiasa nnchi nzima waachiwe huru ndio tutakaa kuriziana ndio wakawatowa mpaka na mwenyekiti
 
Back
Top Bottom