Hakuna ugomvi hakunaa shida yoyote… niliona mabadiliko yake Kama siku 2 hivi nyuma.. Leo from no where ananitumia hii sms
“Mama angu samahani sanaa si kwa ubayaa ila me naona haya mahusiano yaishie hapa mimi binafsi na mambo mengi sina muda na wewe kabisaa sasa kwahyo hatuwezi kujengaa mahusiano yaliyokamili kwa ubize mahusiano yanataka muda sanaa ila mimi muda nimekosaa nadhani hata ww shahidi kwa hilo kwahyo me naomba tu nisikupotezee muda kwa sasa kabla hatujafika mbali... ngoja na mimi nituliee kwanzaa pale nitakapoona na muda basi nitaanzisha mahusiano ila am very sorry mama angu.... kama kuna sehemu tulimkosea Mungu kwa namna yoyte atusamehe”
Nilichomjibu
“Ooh sawa hakuna tatizo.. kama umeliona hilo it's okay.. nimefurahi kwa kuniweka wazi. Sisi wote ni vijana Kuna maisha mengine lazima yaendelee”
Huyu mkaka nimeanza nae hata miezi 3 hatujamaliza, japo siku mtilia maanani kwasababu ya red flag hizi
1:Anapenda kuombaomba hela, ukimshtukia anajifanya kuwa alikuwa anatania
2;Anaenda kwenye makongamano ya waimbaji sana( wengi wanaoenda huko wanatafutaga wadada ama wakaka)
3; Ni mgumu kutoa hela zake.. hata ukiishiwa vocha utamuomba atakuzungusha siku 3 ndio upewe
4; Analazimisha aje kwetu kwa madai kuwa anakuja kumsalimia mama( jambo ambalo nilimkatalia kuwa sisi kwetu anaetaka kuoa ndio anaruhusiwa kuja home si jambo zuri mimi kupeleka wanaume kwa mama yangu naona Ali mind )
Tumeachana kwa amani.. nashukuru Mungu process ya kukulana ili fail kwasababu ya ubize wake, hii imesaidia nisiumie sana wala kujutia na nimejifunza hapa usifanye sex mapema sana lolote linaweza kutokea huko mbeleni
Nimejiuliza maswali sana… kuna shida gani mbona sijawah kupata mpnz wa kudumu yaani nikaenjoy mahusiano( japo nimewai kuwa na kijana kwa sasa hayupo ila nilienjoy)
Nimewaza tu nikae single kama hata huyu church boy kaniachaa