Wengine pamoja na Kujipendekeza kwetu Kwao ila bado hawatuthamini na hawatupi Heshima kama hii aliyopewa Ruto, Kenya na Wakenya

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
60,084
119,749
Washington : Rais wa Marekani Joe Biden amemkaribisha mwenzake wa Kenya William Ruto katika ikulu ya White House kwa ziara rasmi ya kiserikali ya siku tatu na kuipa nchi hiyo ya Afrika Mashariki hadhi ya mshirika mkuu wa Marekani ambaye sio mwanachama wa jumuiya ya kujihami ya NATO.

Chanzo: DW Kiswahili

Wakenya hawajawazidi wale Wengine AZT kwa Utendaji, Malengo na Mikakati bali ndiyo Wanaoaminika za Wazungu.
 
Back
Top Bottom