Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 127,873
- 244,435
Ubishi utakusaidia nini ?Mimi nimfuatiaji mzuri wa epl ila sijaona hizo dharau ubazoongelea
Hii mikataba inaandikwa kisheria , kama alikubali kuisaini ni lazima autumikie , Mapozi ya kishamba ya nini mtoto wa kiume ?Ukweli Ni Kwamba Jamaa Analipwa Hela Ya Karanga Kwahiyo Anataka Mpunga Hevi na Sio Posho ya Kunywea Gongo.....
Jamaa Lazima Ajiproud Kwasababu ndani Ya Arsenal Anaju na Hela anayopewa ni shit....
Alipokuwa Barcelona alikuwa analipwa £40,000 kwa wiki kumbuka!Ukweli Ni Kwamba Jamaa Analipwa Hela Ya Karanga Kwahiyo Anataka Mpunga Hevi na Sio Posho ya Kunywea Gongo.....
Jamaa Lazima Ajiproud Kwasababu ndani Ya Arsenal Anaju na Hela anayopewa ni shit....
Makombe mangapi mmechukua zaidi ya yale ya emirates tangu aondeke Henry? Au mafaniko yenu ni top 4 bac.Hatar Henry aliondoka na
Arsenal haikutetereka sembuse mbwq huyu
Hata kama hatujachukua vikombeMakombe mangapi mmechukua zaidi ya yale ya emirates tangu aondeke Henry? Au mafaniko yenu ni top 4 bac.
Kwa mpira gani!!!?Ukweli Ni Kwamba Jamaa Analipwa Hela Ya Karanga Kwahiyo Anataka Mpunga Hevi na Sio Posho ya Kunywea Gongo.....
Jamaa Lazima Ajiproud Kwasababu ndani Ya Arsenal Anaju na Hela anayopewa ni shit....
Hatar Henry aliondoka na
Arsenal haikutetereka sembuse mbwq huyu
Co ttz lakin hakuna ckuKauli za kishujaa hizi, toka Henry aondoke hawajawahi Beba ndoo wameishia kuchukua jag tu!
Hata mm ndo nashangaaKwa mpira gani!!!?
naona una kitu,, wote tunafatilia ligi hiyo na sijaona majigambo ya alex licha ya kuwa yeye ni jembe saana..Hii mikataba inaandikwa kisheria , kama alikubali kuisaini ni lazima autumikie , Mapozi ya kishamba ya nini mtoto wa kiume ?
Huyu mchezaji ana tabia za kishamba sana !Co ttz lakin hakuna cku
Umeskia arsenal imeanguka
Hata kabla ya huyu Sanchez
Kuja arsenal ilikua kama unavoiona
Kipi cha maana amesaidia
Mpaka aongezwe pesa