Wema, Zari kuonana 'live' kwenye arobaini ya Nillan

Eti hatuna kawaida ya kushikiana cm.. halafu nimempa pass word ya instagram anaperuz atakavyo, huyu mama nae anapenda kiki.. anapeuz wakati Tiffah kamashikia hiyo cm?
Nakuona mke mwenza wa zari.....uke wenza huu tabu tupu
 
Hivi kwa akili zenu mnadhani zari mjinga kiasi hicho mpaka amualike wema kwenye arobaini ya mwanae? hiko kitu hakitawahi kutokea kamwe, kumbuka zari alishasema kuwa hataki kuruhusu poison kwenye mahusiano yake kwa kujiepusha na mashoga wasiokua wa maana, tunajua fika wema anatamani k
 
Kwa esma tu inaandaliwa bonge la movie,inaweza tokea esma asiwepo au awepo na waigize mashosti ili kuepusha maneno.

Ukweli ni kwamba mganda kakaba kila kona. Wema abaki tu kwao aandae vipindi vya application yake.
 
Mawazo yangu ghafla yalikwenda kwa Sintah hapo, masikini Sintah ana damu ya kunguni, kila anaemshika anamkimbia.
 
Mawazo yangu ghafla yalikwenda kwa Sintah hapo, masikini Sintah ana damu ya kunguni, kila anaemshika anamkimbia.
Sintah nae alikosa shost


Toka lini Zari akawa na shost ? The Gandanian lady is very arrogant..
 
Si wabongo sjui tupoje yaani watu wasipatanee, tuna nunaa kwa hiyi furahaa yenuu watu wagomban acheniii uchawi , kiki kikii, em achen ufitinishii
 
Patamu hapo kwenye kumualika Makonda...na TID na wenzie
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…