Wema Sepetu kufanyiwa sherehe CHADEMA

Msingi_Kiuno

Member
Feb 22, 2017
86
126
Habari ya muda huu wazalendo wote wa nchi yetu pendwa Tanzania....

kwa mujibu wa gazeti la Tanzania daima la leo, imeripotiwa kuwa CDM imepanga na inajiandaa kumfanyia sherehe kada wao mpya na mlimbwende (miss Tanzania 2006) bi Wema Sepetu.

Inadaiwa kuwa mlimbwende huyo anatarajia kuvuta wafuasi wake zaidi ya mia tano CDM.

Umuhimu wa sherehe hiyo ni nini katika harakati za kujenga chama na kuhakikisha ustawi bora wa Jamii ya watanzania?

Nawasilisha.
 
Ukuu wa mkoa unahitaji elim na ya kiwango kipi hiyo si taluma mimi ninavyofaham
 
Mbowe anamfanyia wema sherehe ili Kuonyesha wema ni spesho ni mwanachama alive zaidi ya wanchama wengine na kwamba yuko "karibu " sana na m/kiti. Hii yote hataki ushindani bwana Dj wa kumtafuna mlimbwende Toka ndani ya hicho kichaka cha wababaishaji,matapeli, washereheshaji wazee wa matukio aka CHADEMA
 
Daudi Bashite hamuwezi Wema.Makonda aoneshe vyeti kabla ya sherehe ya Wema Chadema
Hivi inawezekana mkuu wa Mkoa akateuliwa mtu aliye foji vyeti? mimi siamini, nafahamu nafasi kubwa kama hizo kabla ya uteuzi inafanyika Vetting, kama walimteua bila kumfanyia vetting nitaanza kushawishika kuamini ule uvumi kwamba tumekua tukikurupuka katika maamuzi makubwa ya nchi yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…