Plot4Sale Wekeza kwenye ardhi

Frank mtanganyika

JF-Expert Member
Aug 10, 2018
489
777
MOSHI!! MOSHI!!! MOSHI!!

Shamba Heka 6 kwaajili ya kilimo na makaziLinauzwaa Moshi,
Location; Newland, nyuma ya mashamba ya TPC
Shamba ni heka 6 liko sehemu moja, kuna nyumba ya room 3 za wafanyakazi, mabanda kwa ajili ya mifugo, jiko na choo, liko flat kabisa na limezungushiwa uzio mzuri wa nguzo na waya kama linavyoonekana, huduma zote za kijamii zipoo, maji, umeme etc.

shamba limezungushwa mfumo wakisasa wa maji shamba zima, imepandwa miti ya matunda aina mbalimbali , miti ya mbao na migomba.

Shamba lina rutuba nzuri ya asili na halijawahi wekewa mbolea yoyote ya kisasa.

Price; Mlioni 15 kila hika moja.
Kwa maelezo zaidi nichek 0783166050.

received_601671204320513.jpeg
received_323948146570533.jpeg

received_319382447053243.jpeg
 
Back
Top Bottom