Plastic
JF-Expert Member
- Jun 2, 2019
- 223
- 335
Habari wanajamvi.
Je, una mifugo inayosumbuliwa na maradhi mbalimbali?
Ningependa tutumie uzi huu kushare picha za wanyama wa kufugwa (ng'ombe, mbuzi, kondoo, nguruwe, kuku, bata n.k) tunaowafuga au tuliowahi kukutana nao wakisumbuliwa na magonjwa mbalimbali ili tujifunze na kupata ushauri wa tiba kutoka kwa wataalamu walio humu.
Binafsi naomba msaada kwa hili;
Kondoo huyu ana hali kama inavyo onekana hapo na upumuaji wake ni wa shida.
Tiba inaweza kuwa nini?
Natanguliza shukrani.