Weka Movies na Nyimbo zako kali 2024

Sisa Og

Senior Member
Apr 18, 2024
193
463
Habari wana JF?

Mwaka 2024 ndo tunaumaliza hivyo. Basi nikaona ni vyema kama tukijikumbushia movies na nyimbo ambazo tumezizingatia sana mwaka huu.

Binafasi, movies nimecheki nyingi ila hizi tano ndo nimeziangalia sana. Sina budi kusema ndo movie zangu pendwa:
  • Good One
  • Civil War
  • Sometimes I Think About Dying
  • I Saw The TV Grow
  • Rebel Ridge

Kwa upande wa nyimbo, nako kuna hizi nyimbo tano nimezisikiliza sana.

  • Shekhinah - Steady
  • RCee - Knees And Bend
  • Wizkid - Troubled Mind
  • MG Ft Melo Vee - Dimensional Love
  • Theecember - BLKN

Naomba kuwakilisha
 
Back
Top Bottom