Ni Wizara inayofanya kazi vizuri sana. Wanahitaji kupongezwa na kuombewa. Wameonyesha haki na usawa. Ni wakweli na wawazi. Tunaimani nao. Asante Mh. RAIS, Waziri na watendaji wote wa UTUMISHI.
Mi sijaajiriwa, na siongelei kuhusu ajira naongelea habari za hawa wenye vyeti feki wizara haitoi habari za kutosha na inasababisha vihabari vingi vya uongo kuzagaa unakuta taarifa kibao mtaani na kwenye website yao ni hazipo