Nyie ndio mnaua soko na mwisho wa siku taaluma ya IT inadharauliwa coz mnajiweka cheap sana! Mm natengeneza website but siwez kufikia hatua hyo aisee! Hivi unawaonaje Lawyers taaluma yao jinsi wanavyoiheshimu yaani hawezi kujishusha ata kidogo kwasababu kaigharamikia kuipata.
Hizi kazi nazijua na changamoto kubwa inayofanya vijana wengi washushe bei ni kutaka pesa za haraka pasipo kuangalia quality of product. Mm huwa siwez kufanya kazi hizi kwa offer ya kuharibu soko. Mimi huwa nawapenda sana makampuni ya website makubwa coz huwa hawaangalii watu wanataka nini bali wanaangalia quality ya product wanayotoa.
Ukijishusha Sana kuna hatihati ata hosting ikafanyika kwenye free servers badala ya kuweka kwenye server nzuri mfano hostgator, bluehost. Au template ikawa na matatizo mfano www.vcc.or.tz