Web hosting kwa tsh 55,000 tu

NetFasta

Member
Jun 19, 2019
50
39
💥OFFER-OFFER-OFFER BAABKUBWA💥
💥 Jipatie Web Hosting Ya Mwaka Mmoja Kwa Tsh 55,000 Tu! 💥
1️⃣ 25 NVMe SSD Storage
2️⃣ Free Website Migration/Transfer
3️⃣ Maximum Speed (Up to 3x)
4️⃣ Kama Unaitaji (Landing Page) au PHP Script yoyote, tuta-install Bure

⚡️ Usikose ofa hii ya kipekee!.
📞Tupigie: 0780 707 771

NetFasta
💨 Tumezingatia Speed Na Security:
✔️ NVMe SSD Storage
✔️ LiteSpeed Server
✔️ Unlimited Bandwidth
✔️ Imunify360 (Malware Detection and Removal)
✔️ Free SSL Certificates .
 
Mkuu mimi nahitaji maelezo zaidi!
Hizo gharama ni wakati wa kwanza or ni endelevu ?
Nikihitaji website ambayo kutakuwa na payments, naweza ku-upload some files visitors wangu wakapakua, naweza kugenerate some sort of ID (unique kwa kila mtu atakayefanya payment). Inacost bei gani system kama hiyo? Including security, SSL and stuffs?
 
Tuna ofa kwa wanaohitaji kutengenezewa website, unalipia kifurushi cha Speed Pro cha Tsh 150,000. Tunakupatia husting ya mwaka mmoja, Domain bure, na tunakutengenezea website, tupigie tufanye kazi 0780707771
Domain name sijui address yake inakuwa co.tz, or.tz, au ni org, .com au yoyote mteja atakayo kwa huyo gharama?
TUPE MAELEZO ZAIDI
 
plock storage inategemea na kifurushi unachochagua, ukichagua hicho cha 55000, unapata 25 GB, cha pili yake kina gb 35 kwa 75,000 na cha mwisho kina gb 50
 
Mkuu mimi nahitaji maelezo zaidi!
Hizo gharama ni wakati wa kwanza or ni endelevu ?
Nikihitaji website ambayo kutakuwa na payments, naweza ku-upload some files visitors wangu wakapakua, naweza kugenerate some sort of ID (unique kwa kila mtu atakayefanya payment). Inacost bei gani system kama hiyo? Including security, SSL and stuffs?
Hizo gharama kwa mwaka wa kwanza tu, baada ya hapo unalipia 110,000 kwa mwaka, kuhusu hiyo website naitaji maelezo zaidi, file unazoweka ni kubwa kiasi gani?
 
Unachagua kutokana kampuni yako au taasisi....huwezi normal company ukapewa .org au .edu/ac au .go....
..
Mkuu hizo domain zote tunazo, zinalenga matumizi flani lakini si kwemba nilazima kampuni isajili hiyo domain, hata wewe unaweza kusajili domaini hiyo ila unashauliwa usajili kutokan na matumizi yako yafanane na domain uliyoichagua
 
Unarudi kule kule
 
Back
Top Bottom