THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,252
- 4,543
Wanajukwaa la Sport habar,
Nimewaza tu hivi Mashabiki wa Simba haya Matatizo ni Kwa sababu ya Umaskin au Ujinga tuliona nao wa kukosa Elimu na kukosa kustaarabika?
Hivi Mchezaji anafanya kosa bado Match 10+ mnaenda kumshambulia Kiasi Kile serious?
Nani analikumbuka Kosa la Gerrad 2014 Tena Captain anaikosesha Team yake ubingwa Imagine Tena Uwanja wa Nyumbani.
Nyie hata Uwanja wa Nyumbani hamna na Match ilikua Away so hata Drop ni sherehe kabisa.
Mda mwingine mjifunze kushukuru Kuna Makosa yanatokea mapema hujui hizo Match zilizobaki Mungu ana mipango gani? ukute Yanga atapoteza Tena mbelen huko hatujui..ukute Mungu kawapa Somo mapema mjifunze nyie mnaanza kutukana je kama kosa angefanya na match zishabaki 2 kama yale ya Gerrad mngefanya aje?