WCB Wanapo Recycle Vizee Vya Bongofleva Trying To Bring Back 1990's in 2016

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,700
29,160
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kama mwananchi nimesikitishwa sanaaa, sanaa kukosekana hii tuzo ila huu mwezi mtukufu, unafiki dhambi, mimi kama Lara kubwa la baadui, baddest, bandiduuuu, jitu lenye roho mbayaaa evel za furaha yangu acheni tu. Wiki hii aliekuwa ananisogezea instagram ya @ shilole_official baaaaas, na zile dua zake Dada Diana akose tuzo, KABAAAAAAAAAAANG ua la kuku LIMEMTUNGUA TAI DUME. Hahahaaa.

POMPOOOOOOOOOO KIDEDEAAAAAAAAA! WOYOOOOOOOO WOYOOOOOOOOOOO WOYOOOOOOOOOO. KIKO WAPIIIIIIIIIIIIIII, MASHUZI VEPEEEEEEEE, FINALLY A PEACEFUL WEEK. (Kweli mimi sio mtu mzuri.)

BACT TO TOPIC

WCB, nanza na Msaani anaengoza kwa Tango Rich Mavoko, sasa Mavoko mkubwa mwenzangu mbona mi sijaona lolote kwenye huo wimbo wako ulio uzia utu huko WCB. Kwenye chati kuanzia wewe Wewe, that talentless boy wala Boss BET WANNA BE wenu na Mafikizolo mmefifia fiiiiiiiiii! Rich mi nilikwambia hapa tatizo sio management NYIMBO ZAO ZA SASA MBAYAAA. Ungetulia tu, mbona Jay Moe nisha mchana hapa kajipanga na karudi fresh sanaa Pesa Madafuuuu. Neddy wa Ommy Dimpoz, Ommy is a good artist but the whackest manager tangia hi record lebel trend ije but NEDDY CAN REALLY SING. Kwa sie tuiekwepo the times when you just needed good music to shine, Neddy atafika mbali i just pray he gets signed na serious managers kama Max Rioba

Tuje WCB na RAISING STARS FROM THE DEAD ARTIST STRATEGY, Hahahaaaaaaaa! This is the dumbest thing ever. Ni ngmu mnoooo. TRYING TO RAISE A DEAD ARTIST IS LIKE WASTING TIME. Kuna sababu kwanini Muziki uli mphase out huyo mtu. Hakuna msaani anaji phase out mwenyewe either kipaji kinamuishia au mziki unabadilika unamtema na huwezi kwa artsist wa miziki ya season zote there is no way watoto wa 2000 wakamuelewa Juma Nature, no f way. Sababu he just dont speak their story, wao ni hoover generation, nature kama sie ni baiskeli generation. Mda ukipita umepita ndo maana hata Michael Jackson alikuwa phased out, sahivi Usher na RKelly are phased out.

Sahivi duniani kabla hujaingia deal na mtu you look at AGE ili kuangalia lifeexpectancy na going concerns za hio deal. Sasa Juma Nature ana miaka mingapi? Una ukimsign jioni hiii, tusahau asha expire, ana future ya kimziki ya how many years? Si taari veteran yule. Watu wengi at 40 sauti hazitoki za kuimbaaaa, na hiii mibangi, pombe, sigara, vocal cord zote nyanganyanga. Hahahaaaa. Tuje Kumiliki stage at 40 hii Juma ata dance kwelii na KU DAB sijui nini kuendna na soko la sasa la mziki au ndo atatumia stile ya kiveteran ya Hayati Remmy Ongala (R.I.P) atleast Remmy alibaikiwa voice life expectancy kubwa kama Hayati Bi Kidude at 100 years voice peach level zake vijana hawakaribiii.

Sasa Dai was strategic forming a label and all hata kama aliiga kwa kina Mavins, deathrow, Cashmoney etc but kibongo kaanzisha trend yet again i give him credit for that ila sasa MANAGEMENT NDO ISSUE. NDO MAANA NAIMBA WIMBO WA TAIFA THE MAN BEHIND DAI SUCESS NI YULE MUHAYAAA MWENYE REDIO NOT BABU TALI WALA SIDE DIWANI. NIMETOA MFANO MDOGO, SIDE DIWANI WETU AME MANAGE WASANII WANGAPI TO DATE? TMK, YAMOTO, SOLO ARTIST KIBAO KWANINI HAMNA KAMA DIMOND??????? BABU JE NA TIP TOP KINA Z ANTO VERY VERY EXTREMELY TALENTED, KASSIM MGANGA, WHY HAKUNA A SUCESS STORY CLOSE TO DAI? SALLAM NAE HANA SUCESS STORY YA KUMMANAGE YOYOTE.

NARUDI THE TRUE MAN BEHIND MANAGING DAI NI YULE MUHAYA SABABU HE HAS HISTORY OF INCREADIBLE ARTIST MANAGEMENT KAMA JIDE, Level alizokuwa wakati yupo chini ya Muhaya ni za kukubukwa sanaa. Tuzo alizizoa, shows za nje, the guy is simply SUPERB anajua kile anafanya. Rayc nae alivokuwa managed na jamaa hakuwa wa kitoto.

ALL IN ALL WCB MPAKA DAKIKA HII NI RE CYCLE LABEL TRYING SO HARD TO BRING BACK THE 90'S AND EARLY 2000'S BACK TO THE CURRENT MARKET MENU. SASA KWELI THIS IS NOT MUSIC REVOLUTION. Hao wote kina Mavoko, Juma Kassim, na wengine ni wetu, uwezo wao tunawajua vizuri na tumewachokaaa 90's na 2000's yooote walitawala wao ujana wetu wote na uzee piaaa, thubutuuuuuuuuu. Tuliwaamini mara ya kwanza ishatosha mda huo hatuna tenaaa. Tulitegemea SURPRISES, NEW IDEAS, NEW FACES, NEW MUSIC, NEW ERA, NEW EVERYTHING.

SADLY VICE VERSA IS ALSO TRUE.
 
Hayo ni maoni yako, mtazamo wako hauwezi kuwa sawa na sisi wote kila mtu ana 7 define Mziki mzuri anavojua yeye.. Mfano mwingine atakwambia bongo kwa sasa wanaofanya vizuri ni WCB. Kuhusu ushaur ulompa mavoko sina comment uko sahihi.. Ndefu lakini nmeisoma yote
 
Hayo ni maoni yako, mtazamo wako hauwezi kuwa sawa na sisi wote kila mtu ana 7 define Mziki mzuri anavojua yeye.. Mfano mwingine atakwambia bongo kwa sasa wanaofanya vizuri ni WCB. Kuhusu ushaur ulompa mavoko sina comment uko sahihi.. Ndefu lakini nmeisoma yote

Toa tu fact wanafanya vizuri wapi? INSTAGRAM KWA DULLER AU? Maana ule wimbo na Mafikizolo baada ya Dodoma Ziiiiiiii. Hahahaaaa! Voda kwa kuulupukaga hawakomagi. CHAT ZA REDIO GANI?
 
ninacho shukuru ni kuwa wa kwanza kuisoma thread, kuielewa na kukomenti...
Mungu akubariki @lara1 kwa kipaji ulichonacho... karibu beeeeeer
Asanteeee leo kwa NATI CHIBU full raha kama vile fainali za EURO zimeisha. Hahahaaaa.
 
Nini? jamaa kakosa tuzo au mimi sielewi?
wabongo tatizo kujishaua kwingi..huyu dai sio humble kabisa mwache tuone nini kitatokea
 
Diamond akikugusa tu, hautakaa kumsaka saka anakunyima usingizi. Eti kubwa la maadui hicho cheo cha Mange, wewe tunakujua kama mpenda mahaba na msaka pesa kwa mahaba na muunganisha wanawake kwenye mahaba upate riziki yako gata 1% ule, ulale, uishi.

Eti D kukosa tuzo unakuja na maandishi kutafuta akutambue au kujitafutia kiki kupitia jina la Simba. Unajua kule ulidata sasa huku kwa msanii Chibu aka mume wa Zari aka Baba Tiffah ndio tegemeo lako kugurahisha roho kuwa unawafuasi...

Hata uandike nini biblia nimekusoma mwanzo halafu nikapitisha macho ni full Dai Dai, kwani umekatazwa kuanzisha kampuni yako? Huko Dubai kwa muwest umeingizwa mjini sasa mapovu kwa Dai.

Dai atabaki kuwa Dai mwanamuziki aliyetoka kupita wote nchini hapa, tena mie na sie wa mkoani tulipo ni tunafurahia kuwa anatuwakilisha. Kalia wivu inajulikana unamramani nawe uongozane nae ukijua yeye sio level yako... Umejaa wivu juu take ingawa umejibinyaaaaaaaaa kutoandika...unamdanfanta nani sasa kama sio rohoni umejaza kongosho...

Ongelea wasanii wengine pia...wivu

Bonyezeni kidude cha dislike hadi mchoke...na bado alikua 106 nini hadi raha... Rohoni atazidi kufurahia kuwepo huko na pia kutambulika kuwania tuzo.
 
Kuna mtu nilikuwa namwambia about rich mavoko same story....
Rich ana muziki mzur saana ila hawez kutoka nyuma ya diamond!!, yule jamaa wa kigoma hawez kuruhusu rich ang'ae zaid yake!!!....
Dai ana jua ku-intertein..anajua ku promote musiki wake lakin baada ya 2months mostly wimbo wake unakuwa umechuja!.. But the truth he know how to make u enjoy his music akiwa kwa stage!. And this is the end of Rich!

Kwenye WCB watu watatu wanafanya same style... Bora aongeze mtu wa singeri kubadirisha radha
 
Yadda yadda dot com, point hamna. Tz iko kwenye baby steps about managing wasanii and here comes a loooonggg pointless thread. Kwani akiwa managed na huyo muhaya whoever he is kuna tatizo gani? Diamond anajaribu kuitangaza Tz and more, kuwa na label yake, akichukua mwanamuziki wa 90yrs old au 5 yrs old, does it matter? So, basically u sitting ur nasty behind somewhere waiting for wcb downfall right? Instead of ....wishing them the best and how hard they fight to represent/introduce Tanzania music to the world? Unadhani diamond angeshindwa ku sign ktk label kubwa ya nje kwa level aliyoko sasa? Do u think hajapata such offers? Why anazi turn down ana market WCB to the world? Hata iki fail, HE DID HIS BEST TO KEEP TANZANIA KWENYE RAMANI YA DUNIA fool! Ukitaka asaini wanamuziki unaotaka wewe fungua label yako bibie.
By the way Can u remind again mtanzania gani aliwahi kupata nominations japo mara moja tu za BET before Diamond?
I swear Watanzania wana roho za korosho hadi kwenye majeneza yenu zinaonekanaga! Hivi how much does it cost to wish somebody the best?? Sometimes najiulizaga ilikuwaje nikazaliwa kwenye linchi la watu wako super super NEGATIVE!!!!
 
Nimekufuatilia mabandiko yako mengi nimegundua Unauwezo mkubwa sana wa kuusoma na kuuelewa Muziki. Hata baadhi ya Maelezo yako ni ya msingi sana ingawa kuna baadhi ya sehemu ndogo unakosa Information sahihi. Pamoja na hayo unatisha.
 
Kuna mtu nilikuwa namwambia about rich mavoko same story....
Rich ana muziki mzur saana ila hawez kutoka nyuma ya diamond!!, yule jamaa wa kigoma hawez kuruhusu rich ang'ae zaid yake!!!....
Dai ana jua ku-intertein..anajua ku promote musiki wake lakin baada ya 2months mostly wimbo wake unakuwa umechuja!.. But the truth he know how to make u enjoy his music akiwa kwa stage!. And this is the end of Rich!

Kwenye WCB watu watatu wanafanya same style... Bora aongeze mtu wa singeri kubadirisha radha
Taja hao wasanii ambao nyimbo zao hazichuji ?
Kumbuka huyo Richi Mavoko ameshindwa kung'aa akiwa mwenyewe,waacheni vijana watengenze pesa
 
Back
Top Bottom