Levels baby
JF-Expert Member
- Sep 26, 2019
- 831
- 769
Kina baraka zote toka TandahimbaNjomba nchumali yule.
Hamonenga nguvu aliyonayo tunaijua ndio maana unaona ma boss wake wa zamani wamepagawa mpaka ikatokea kaka mkubwa pindi kondeboy anatoa Uno alitaka nae atoe ngumu wakamshauri utapotea temana nae mpaka kampigia dogo Jux kuwa watoe ile yao mana lile la Jux kwaju kweli.Mnajitekenya na kucheka wenyewe,muda utaongea ukifika.#levels baby naona mmeamua kwenda Mtwara
Kiba mlimuonea sabb mpole sasa mmekutana na misifa ndio nyumbani kondeboy ko mtulie ndio muda wake huu bakini na hao hao waimba kaswidaNaona tim.....KB..imeanza rasmi sasa..
ukipita juu tunapita chini.....
Muda utaongea tu ,uzuri jamii forum thread huwaga hazifutwi,ila mnajitengenya na kucheka wenyewe,#levels baby naona mmeamua kwenda Mtwara.Hamonenga nguvu aliyonayo tunaijua ndio maana unaona ma boss wake wa zamani wamepagawa mpaka ikatokea kaka mkubwa pindi kondeboy anatoa Uno alitaka nae atoe ngumu wakamshauri utapotea temana nae mpaka kampigia dogo Jux kuwa watoe ile yao mana lile la Jux kwaju kweli.
Haraf kaka kabaki na wakina Mwakyusa Wale wote hamna ubunifu na kujiongeza kama konde
KB namaanisha Konde Boy...sio King KibaKiba mlimuonea sabb mpole sasa mmekutana na misifa ndio nyumbani kondeboy ko mtulie ndio muda wake huu bakini na hao hao waimba kaswida
ukikaa nchale ukisimama nchaleNjomba nchumali yule.
Ahaaaaaaaaaaah acha kula bangi mbichi wewe kilaza wa mawingu fc,yaaani harmonize<rayvanny, ndo amtetemeshe diamond, diamond hakuna wa kumpoteza hata siku moja na haitatokea sawa.Hamonenga nguvu aliyonayo tunaijua ndio maana unaona ma boss wake wa zamani wamepagawa mpaka ikatokea kaka mkubwa pindi kondeboy anatoa Uno alitaka nae atoe ngumu wakamshauri utapotea temana nae mpaka kampigia dogo Jux kuwa watoe ile yao mana lile la Jux kwaju kweli.
Haraf kaka kabaki na wakina Mwakyusa Wale wote hamna ubunifu na kujiongeza kama konde
Ahaaaaaaaaaaah kumbe ndo walewale yaani unaona haka na upepo ndo unampa kichwa huyo dogo daaaaaaah so sadDiehard fans wa Diamond sijui ni kwanini wamechukizwa sana na Kondeboy kutoka WCB..wamebaki kusubiria aanze kupauka kama Rich Mavoko..kitu ambacho hakiwezi kutokea
UNO audio tu tayari 1m+ stream on youtube..
Tuache uchawi..Diamond afanye kazi aendelee kuwa juu,na Harmonize naye aendelee kuwa juu na hata akimpita Diamond iwe ni ishu ya kawaida
Diamond is king,rayvanny akipitwa na harmonize ndo taamini anaweza kumfunika diamondKiba mlimuonea sabb mpole sasa mmekutana na misifa ndio nyumbani kondeboy ko mtulie ndio muda wake huu bakini na hao hao waimba kaswida