Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 49,709
- 39,057
Wanakummbi.
Tuliaminishwa vitu vingi sana kutoka nchi za Magharibi na Ulaya kuwa ni watu makini wamenyooka hawana tamaa wanaheshimu haki za watu na siyo wizi kama watu wa Africa, binafsi nawafahamu kiasi wazungu ni binadamu kama wengine na ni wizi, waongo wanafiki angalia hiyo video ingekuwa tukio hilo limetokea Africa habari zingetangazwa kila kona. Bahati mbaya hata wale watumwa wa Wazungu wanaona kama wazungu wanaonewa.